i present windows phone 8 android na ios killer kubwa kuliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

i present windows phone 8 android na ios killer kubwa kuliko

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Aug 7, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  window phone 8 hiyo itakua kama picha inavoonesha

  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]  Kuna vitu vipya ambavyo wp8 wamejitahidi kueka ambavo kwenye ios na android hawajafkiria kua navyo  arched keyboard

  Tupo wengi tunakula kucha simu za touch inakua ngumu kupatia button mara kibao tunakosea wp8 wametuskia keyboard kama ya simu za zamani kwenye touch screen hata kama una mdole gumba mpana kama muhuri wa tanesco utachat vizuri tena kwa mkono mmoja  [​IMG]  Kama unavoona qwe unatouch sehemu 1 na sio 3 tofauti.

  maps
  [​IMG]

  wote tunajua maps za nokia ni better kuliko google maps linapokuja swala la coverage kwenye wp8 kutakua na nokia maps na kizuri zaidi unaweza fanya offline maps kwa kudownload eneo fulani kwa ajili ya matumizi ya badae

  Mfano kesho nataka niende kijijini kwetu sigimbi na hakuna internet au ipo ya slow yani edge tu na nataka ntumie ramani ntaidownload yote ramani ya sigimbi and then kesho nkienda ntatumia bila internet

  child friendly os
  Watoto wazee wa chabo imekula kwenu hii os itakua na parental control ambayo itablock vitu ambavyo owner hataki mwanae avione

  right to left language support
  Jamani si lugha zote zinaanzia kushoto kuelekea kulia lugha nyengine kama kiarabu kinaanzia kulia na kuenda kushoto wp8 wamead hii feature kuwavutia zaidi wateja wa midlle east.

  bluetooth
  Tushazoea bluetooth kukonekt na device kama earphone na kuhamisha mafile ila kwa wp8 bluetooth ina mambo mengi sana ikiwemo peer to peer (p2p) yani mtu mbili zitashare files na folder kama ni device 1. Wewe unaweza niruhusu mimi uhuru wa folder lako fulani ie, music then nachagua mwenyewe nyimbo ya kujirushia.

  Pia wame advance kwenye app na device zengine.

  new start screen
  [​IMG]
  Kama ilivo wp7 screen ina vitiles tiles kama vibox box hivi, windows phone 8 itakua navo pia lakini hivi vitakua vya ukweli maana utavieka the way unavotaka mfano application unaipenda basi icon yake utaifanya ionekane kubwa kwenye screen

  internet explorer 10
  Hii ndo itakua default browser na kama unavojua ie10 itakua html5 supported so mambo ya kueka flash ili uangalie youtube yataisha.

  Tena ina browser security website zenye virusi na mbovu zitakua detected na utaulizwa kama unataka kuingia au hutaki

  x-box
  Ninaposema xbox watu wote wanaopenda magame washalijua ni competitor wa ps3 sasa atakua ndani ya simu yako ni wewe na mda wako tu.

  enterprise ready os
  wp8 ina tons za advance technology kwa ajili ya it admin ili waweze kuwamanage employees tutegemee hizi simu kusambaa makazini kwa sababu boss atawamonitor kwa simu hizi (intranet)

  - hapa hapa kuna company hub ambayo microsoft tayari wanaitumia ofisin kwao maswala ya kuomba ruhusa kumuona bosi kila kitu ni simu hizi

  camera
  Hapa kuna vitu viwili vikubwa
  -self timer utege mda kabla camera kujipiga
  -smart group photo shoot yani mfano mnapiga picha watu wa 4 ila kuna mhusika mmoja mkubwa basi utaidirect camera then atatoka vizur kuliko wengine

  in application purchase
  Application utainunua humo humo ndani ya app hii itazuia wizi na uchakachuaji hence itawavutia developers

  tujiulize sasa
  Je window phone 8 ni android na ios killer? Android wao kimya ios ye atazindua iphone 5 wiki baada ya nokia world je iphone naye atajibu mapigo kwa ios 6?

  muhimu: blogers wa kibongo mjifunze kuandika post zenu na muache copy an paste za jf
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nasubiri WP8 yenye PureView Technology, ila bei duuuuu!!!
  Pia muhimu ni Apps Je inasupport apps za WP7 au ndo mpaka developer watengeneze mahususi kwa WP8???
  Je, itakua ya bei nafuuu au ndo itafanya bei za Nokia zipande??
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  Hilo la app waliahidi app 100.000 uzinduzi wake sjajua kama watalitekeleza.

  Sisi tunaotumia unlocked phone ndio tunaoumia bei hata mimi sjui zitakuaje

  Na pureview i hope itakuepo kati ya simu hizo 2 za nokia zitakazozinduliwa 5 september kwenye nokia world.
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sema makampuni ya simu ya kitazania bado haya jali wateja!! Ila haina nowma tutanunua locked then tuna unlock(swali je tutaweza???) App 100,000 that's gread deal maana android na 500,000 apps hawana jipya asimple search in play store ikanipa results kama hizi
  Music player = 50app
  Screenshot=20app
  Web browser =more than 60apps
  hapo nimeacha apps za task,file management, video player, camera nazingine zisizokua na maana. sasa kuna umuhimu gani wakua na 60apps doing the same task??
  Bora kua na 100,000 useful apps than 500,000 then unatumia chache.
   
 5. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu, nimeipenda hii post, you can be writting reviews for citizen au Guardian, ili waache copy paste yao kwenye column ya techno, sijui ni kila lini tena nimesahau.
  Bigup, this is self explanatory - and well elaborated.
   
 6. paty

  paty JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  jamaa wametisha,
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  ngekua na buku ya karibu ngekupa ukanywe soda hizi os nyengine ubunifu mdogo app nyingi zenye utility ndogo.
   
 8. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hapo ni mpaka facebook., hv hii post kesho au leo usiku ntaiona kwenye group moja hv.., wanajiitaga wataalam wkat wana coppy huku... Damn....
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  Rekebisha url mkuu,

  Nimeangalia ndo naona leo sjawah ona kitu kama hicho sidhan kama kina ukweli na kama kina ukweli lazma kuwe na mkono wa mtu mwenye hela nyuma ya hao watu.

  Kutengeneza simu si uwezo wa ma expert tu inahitaji mtu mwenye capital kubwa sana ili waweze kununua mitambo inayohitajika

  Ya concept tumuachie concept
   
 11. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mkuu hawa nadhan n developers wa meego os... Maana nachek mpaka google kwa kusearch jolla naona wanatamba kua meego is not dead wanaachia jolla itakayokua inarun meego wame releas kitu kama shadow ya n9... Pia ceo wa hyo jolla anaitwa
  Jussi Hurmola
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  Nimecheki na mi nawaona kampun nzima wapo 50 hata kama watatengeneza simu hawana uwezo wa kuzalisha bidhaa za kusambaa dunia nzima
   
 13. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  yap... Naunga mkono,.. Hzo may b within a country... Ukichanganya na competition kutoka kampuni zngne hapo inakua ni campuni kufilisika kama RIM,..
   
 14. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nimezipenda, naomba mnipe japo moja.
   
 15. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  chukua hzo apo...
   
 16. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kwenye map chif google wapo juu, hasa kwa maeneo yetu google imecover places nyingi ila nokia maps huwa inaonyesha location chache sana.
   
 17. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  sio kweli mkuu, hebu fuatilia uone mwenyewe, nokia maps mpaka kutumika na Microsoft sio mchezo Microsoft wana Bing maps sasa kwanini watumie Nokia maps??
  Nokia maps ina cover vijiji vingi duniani kuliko Google, Chukua haya Kataa Shauri yako.
   
 18. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  mimi hizo apps zote ninazo kwenye symbian yangu, huwa nikifungua nokia maps inaonyesha location chache, ila gmap ni kiboko hata vieneo vidogo huwa inadisplay. Kuhusu kutumia nokia maps microsoft siwanamkataba na nokia ambao unairuhusu microsoft kutumia nokia resources, naingekuwa vigumu sana microsoft kutumia vitu vya competitor wao wakubwa maana nikuwapa credit. Na ukitaka kuifaidi google maps full tumia android hapo utaona mambo yake.
   
 19. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hebu soma HAPA ujionee mwenyewe
   
 20. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  una uhakika na unacho ongea mkuu... Maana nadhan huelewi maana ya map., nadhan hujawah tumi nokia maps... Mtu aliye tumia anaelewa,. Nokia map n beter kuliko google ndo maana hata ktk size utakuta nokia map ina size kubwa kuliko google map,. Iweje kitu chenye size kubwa kisi cover map yote.,. Usichangie ili mradi tuuu.,
   
Loading...