Wabongo waishio majuu kwa sifa!!?

Mmenikumbusha kuna maza mmoja alikuja majuu nikiwa huko na mtoto wake sasa huyo mtoto kazaliwa tz na kasona tz yaani kwa ufupi bado yupo primary school huku wanaita elementary school ila ndo kasoma sijui international basi kafika marekani anajifanya hajui kiswahili tunamsemesha kibongo anapiga kimya na mama yake anaona sifa eti hajui kiswahili huyo.
Nilipatwa na mshangao kwakweli mtoto azaliwe bongo afu hajui swahili wazazi pia tunachangia.
Hii sio walio majuu tu hata waliopo hapa home wengine wanaikimbia lugha yao
 
Sasa angalia kituko kama hicho ulichokishuhudia kwa macho yako...yaani baadhi ya wabongo wana visa!!?
 
mtoa mada una negative attitude na wanaoishi majuu!!nafikiri ww pia ulishataka kwenda majuu ukabaniwa sasa umebaki kuwaona hao jamaa ndo kama wamesababisha ukose hiyo VISA, watu wanachanganya lugha kwa sababu mbali mbali lakini kubwa muhimu ni kama ifuatavyo:
-Akili zao zimeathirika kwa kupenda kutumia lugha ya kigeni zaidi kuliko kiswahili.
-Lugha ya kingereza imefanyiwa utafiti wa kutosha na una meneno mengi zaidi kukidhi mahitaji ya binadamu kuliko kiswahili, nafikiri hata ww utakubaliana na mm kiswahili bado kinakosa maneno muhimu katika maisha yetu ya kila siku!!
-Terminology za kingereza zinabeba maana ndefu kuliko kiswahili,kumbuka muda unaotumia kuelezea kitu ni muhimu sana kwa maendeleo yako!!!hawa watu wamesha-adapt mazingira ya wazungu, muda ni mali tofauti na ss wabongo!!
-Pia baadhi yetu wabongo ukishaona mtu katoka Ulaya unapenda kusemesha kingereza na kutaka kujifundisha maneno ya ziada kwenye hii lugha inayokubalika duniani!!
-Mwisho fanya utafiti wa makabila makubwa kama wasukuma,waha,wahaya,wachaga na wao wakikutana mjini humo wanabonga kikwao, hao nao ni malimbukeni??wewe ------/mluguru ndo hutaki kuongea lugha yako ndo unakwazika!!hizi zitakuwa akili za BAKWATA kutaka masomo yote ya ngazi za juu tuanze kufundisha kiswahili!!
 

Taratibu mkuu, hapa hatugombani bali tunaelimishana tu so punguza povu na hamaki…vinginevyo wewe ndiye utaonekana una negative attitude. Au na wewe ni ndiyo wale wale mtu wa majuu?

Alafu sijapenda ulivyoitumbukiza Bakwata kwenye mjadala huu tena kwa kuwakashfu…kwahiyo wewe unajiona unaakili
sana kuliko Taasisi yote ya Bakwata? acha hizo mkuu…haipendezi
 
Jambo usilolijua ni Kama usiku wa Giza ............
 


Si unaona hata hapa bongo, mtu hajuwi kiingereza ila mpe tu mic atangaze redioni atafanya hicho kipindi cha radio kuwa shule ya kuongea broken English wakati wasikilizaji wake karibia ya wote hawajuwi kiingereza. Watanzania tuna kasumba sana, yaani mtu mbumbumbu tu wa bongo muvi ama fleva akionekana kwenye tv tu atajichanganya kama Shilole kwa kuongea kisichoekeweka.
 
Mpumbavu kabisa wewe
 
topic yako haina maaana.
 
point
 
Nabonaga uli nzagamba makoba!
 
Wabongo wengi wanaoishi nchi hizi mbili;
Mosi, wanaishi kwa matabaka sana, ni mpaka uwe na jina kubwa au unakaa sehemu fulani matawi ndiyo watakupenda.
Pili, wanaogopa polisi na immigration sijapata ona, hili linatokana na tabia sugu ya uzamiaji.
Tatu, wakifika nchi hizo hawataki kwenda kujitambulisha ubalozini, ni mpaka matatizo yawakute.
ukiwauliza utaskia watu wa Ubalozi wana nyodo, mara ooh wamejaa watoto wa vigogo hatuwapendi. Thou this is yet to be proved.
Nne, wengi wanaoana na kuzaa na kizungu ili wapate permit za kuendelea kuka.
Hii iko sana U.K.
 
Khaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mbona wengi tu wanaongea kingereza kutwa na hawajawahi hata kufika Kenya? Kwahiyo mtu Kisa ni mbeba box akiwa bongo basi hata akijisikia kuongea kingereza ni tatizo na akijisikia joto asiseme kwavile tu katoka ughaibuni?
 
Wakiongea kiingereza wew unaongea kirangi tutaelewana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…