Wabongo wa London kweli mmechoka

Wee jamaa yaelekea ulikuwa na usongo sana wa kuondoka halafu labda ukanyimwa visa basi na ndoto zako za kwenda majuu zikafilia mbali.

Huachi kufatafata wabongo wa majuu. Pole.
oya mjomba ngabu niaje kiongizi wetu raisi wetu wa kubeba mabox...
 
Mimi hata kuijua hiyo mikorogo siijui.
Unajipendekeza tu kila mitandaoni laki sija sikia umerudi kwenu sijui hauna passport au mkimbizi wenda huna kazi na pesa za kurudi home.maana kila siku unajisifia ohh usa ohh bagger onhh trump sijawahi kusikia unase nilikuwa bongo bla bla bla nyingi

Swissme
 
Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza???
Sishangai hata huo ukumbi wenu kama parking ya gari......
P1060927.JPG

Alafu aisee......huwezi kuamini kama hapo ni majuu....wabongo hata majuu hamuivi?? ngozi iko smuthu kama vile mnaishi mburahati bana? wabongo majuu ya US wanang'ara kichizi......

Ndiyo tatizo la watanzania walio wengi. Yaani mtu baada ya kuwaza maendeleo yeye anawaza ujinga kwa kuchunguza kila mtu kwenye picha kavaa nini. Unaenda club kucheza muziki, why uvae tuxedo au gauni la kifahari kama unaenda harusini? wabongo mliopo bongo acheni ujinga jamani. Ishini maisha yenu huko Bongo, stress za kuhofia kukamatwa na madawa msiwaletee wengine.
 
Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza???
Sishangai hata huo ukumbi wenu kama parking ya gari......
P1060927.JPG

Alafu aisee......huwezi kuamini kama hapo ni majuu....wabongo hata majuu hamuivi?? ngozi iko smuthu kama vile mnaishi mburahati bana? wabongo majuu ya US wanang'ara kichizi......
Punguza majungu kijana....!
 
njaa kali ughaibuni, hapo wanaondoa stress waingie mzigoni tena night shift baada ya kutoka kulea wazee mchana kwenye yale makambi yao. Wengi wanakosa hata nauli ya kurudi home.
 
Wewe unafikiri kukodi ukumbi London ni mchezo ?? Hawa wasanii uchwara na mapromota wao wanaishia kukodi viukumbi vya mitaani at least wapate faida kidogo.
 
Back
Top Bottom