wabongo tunaweza mchezo gani?

wabongo tunaweza mchezo gani?

ps.yohana

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
11
Reaction score
2
Hivi wabongo mchezo gani utatutoa kimataifa? coz boll ndo hivyo majanga tu.nikumbusheni jamani mchezo gani huwa tukishiriki unatutoa faster. au tuwekeze mchezo gani? ili tuondoe haya majanga ya kufungwafungwa ka mlago wa toilet?
 
Wabongo tuko vizuri kwenye uuzaji wa madawa ya kulevya na ufisadi period.
 
Back
Top Bottom