Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bwaksi, Jan 12, 2011.

 1. Bwaksi

  Bwaksi Senior Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  137.jpg
  Haya kazi kwenu wadada mnaopenda kwenda na wakati, igeni hii........!!!!!
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,235
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  huku si kwenda na wakati ni kurudi na wakati
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,462
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa kaka mbona hujaeka plate number hapo? hebu fanyafanya basi.
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,090
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  mh!
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,733
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  vaa hivyo halafu katiza mtaa wa kongo usikie habari yake
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,849
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mbongo avae hivyo na hicho kitambi atakiweka wapi?

  Waxing jee?!
   
 7. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,758
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  aisee,ngoja niipeleke hii picha kwa fundi fasta anishonee na mm kama hii maana nimeipenda sana.
   
 8. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MMh makubwa iga ufe
   
 9. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,557
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tatiana umeulizwa kitambi utakiweka wapi?
   
 10. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,758
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  bahati nzuri sana cna kitambi unaonaje ntapendeza eeh!
   
 11. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,758
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  novatus,sasa kwann nife jamani? Mbona aliyevaa hajafa?
   
 12. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 2,972
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Huyu msichana ni mtanzania aliwahi kuwa Uk akarudi 2003, yuko dar anafanyakazi ofisi fulani pale quality plaza
   
 13. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,758
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  oh ril!! Kapendeza.
   
 14. K

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 6,727
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  inaelekea unachukia sana vitambi kwa akina dada, leo sio mara ya kwanza kukusoma kuhusu kitambi
   
 15. czar

  czar JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vaa hivi afu panda daladala za mbagala jioni tena wikiendi hapo ndo utakapo prove msemo wa action and reaction are equal and opposite.
   
 16. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,758
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  kiukweli vitambi vinaondoa mvuto sana kwa akina dada hata kama akiwa mrembo basi akiwa acho tu,mh mambo yanakuwa si mabo tena..
   
 17. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,758
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  nitajaribu kupita maeneo hayo pindi fund atakapomaliza kunishonea nguo yangu. Nataka nitest zali.
   
 18. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,189
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  tuige mara ngapi?
   
 19. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 490
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si bora angevua kabisa akatembea bila nguo kabisa????. Vikundi vya kutetea haki za akina mama huwa vinakuwa wapi watu kama hawa wanapowadhalilisha akina mama??? Sasa hapo akibakwa atasema kaonewa au yeye amewakaribisha wabakaji???
   
 20. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,758
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  hivi mbona wanabaka hata watu waliojisitiri? Ukiangalia kwa undani sana matukio ya ubakaji utagundua hili.
   
Loading...