Kama ilivyo kawaida yetu wabongo wenzangu huwa ni wagumu kukubali mabadiliko, waoga wa mabadiliko tunapenda kuishi kama tulivyo zoea, hatupendi sana mwingiloano.
Ujio wa Akili Mnemba au Akili Bandia imeanza kutupa kiwewe lakini hatuna jinsi lazima tukubali kuwa matumizi ya tehama ndio kila kitu kwa ulimwengu huu.
Ni kweli usio pingika kuwa matumizi ya akili bandia itapunguza ajira ; kwa maana kazi iliyo kuwa ifanywe na watumishi 10 kwa sasa inaweza kufanywa na akili bandia 1 tu.
Akili bandia inarahisisha kazi na pia itapunguza mlolongo wa kibinaadamu.
Hakuna namna tukubali mabadiliko.
tusipo badilika basi tujuwe kuwa teknolojia itatubadilisha kwa lazima.
USHAURI:
1. Somo la IT mashuleni liwe ni lazima kwa wanafunzi wote lasiwe hiyari, lifundishwe kwa wanafunzi wa fani zote, maana tehama haikwepeki, popote ipo lazima itatumika.