Kwenda Same: Kwanini ulipie nauli ya kwenda Arusha

Darkish

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
235
189
Baada ya kupotea kwa muda mrefu sasa nimerudi tena mjengoni.

Kwanza heri ya mwaka mpya kwenu wote! Yaani waibo wa naija tunasema 'UMUOFIA KWENU' unaitika 'YAA'

Leo napenda kuzungumzia kuhusu nauli kwenda Same,, nashindwa kuelewa kwa nini unalazima kulipa nauli ya Arusha wakati unaishia hapo Upareni, hivi mamlaka zinazohusika hawalioni hili!

Latra wako wapi au ni poshoposho to, Tarula na jeshi la polisi je, wao hawasafiri!!?

Mnasemaje wanajamii kuhusu hili?
 
Panda gari za Same, December route ya Moshi Arusha hawakati ticket za kushuka njiani.

Kuna Mwaka December nilikuwa naenda Moshi mabasi yote yamejaa ilibidi nikate ticket mabasi ya Nairobi Kwa nauli ya Nairobi lakini nilishuka Moshi.
 
Hata bila ya Disemba, wanafunzi wote tunawakatia nauli ya Arusha na waishia hapo Same.
 
Wapare watakuwa Wana tatizo basi, ina maana hakuna hata mpare mmoja amechukuwa hiyo route ya Same kutowa huduma ya usafiri?
 
Back
Top Bottom