dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
- Thread starter
-
- #81
ndo walivyo wabongo,kama anakuzingua tupa kuleeeee,unajua nini,bado wana ile akili eti usioneshe kama unampenda sana.pu.mba.fu
Kuchokwa ni jambo lisiloepukikwa Kama hutabadili mbinu za mapenzi.
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
Kila kitu kina-face depreciation.. its just the matter of flexibility..
Bora uchague kuwa kama Natali muke ya .......
Hahahaaa hebu jifanye kama humpendi uone ata act vip.
kweli kabisa ni baadhi.......ila labda ndo idadi kubwa, mi sijui....Sema baadhi ya Wabongo banaaaa!!!
kweli kabisa ni baadhi.......ila labda ndo idadi kubwa, mi sijui....
ila ninachojua yule wangu kadiri ninavyomwonyesha nampenda ndo anavyozidi ku-sticky kwangu
ha haaaa, ndo nimeshashikamana hivyo, lol!Tejaaaa! lol! Watu wenye bahati zao za kupendwa, mapenzi ya kweli siku hizi ni nadra sana kuyapata ndio maana wa MUJINI wakasemaukishikwaa......Please convey my special greetings to Mamkubwa, Mamdogo, Twins, Teja na Dogo mpenda shikamoo 🙂🙂
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
Duuu ila kweli ila nao kuna kitu kinaitwa culture conflicts
dah! my lito bro hebu badili iyo avatar yako jamani!!!!!!
usilie bana................ ukijumlisha na ulivyoandika mweeeh!
Nimejaribu vyote ila huyu mtu naona anatake advantage ya machozi yangu
Kuchokwa ni jambo lisiloepukikwa Kama hutabadili mbinu za mapenzi.
asante kwa ushauri inaelekea mapenzi yanataka kunipa tuition tatizo ndiyo wa kwanza na mwisho sijawahi kujiingiza kwenye mahusiano na mtu mwingine.