dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
huyo atakuwa amekuchoka tuHivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
True love ipo...it seems you are too desperate for this relationship.
Kubaa wanaume wengine ukiwapoteze ndo wanaanza kushtuka. Hii ni wengi sana
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
truelove phillipines.....kibongo bongo utasufer xana,,...ni mwendo wa kupretend 2
Mimi nakuomba usimuache bwana, utampa wakati mgumu sana....