Wabongo na ushamba wa mitandai ya kijamii

Wabongo na ushamba wa mitandai ya kijamii

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
10304876_752915028117080_2480594117441982391_n.jpg
 
Social networks zimekuja vibaya kwa wasiojielewa
 
Huu ni mwanzo tu na wakizoea wataacha,watanzania ushamba hatujaanza leo
 
Mwenye macho hambiwi tazama hii tabia iko kwa dunia nzima siyo bongo tu tena huko ndo kumizidi kupita bongo
 
Hata kuongea na simu LIVE nazo zimegeuka utapeli mtupu - Mtu yuko kapakiwa kwenye TOYO simu yake inaita anajibu naendesha gari!
 
Back
Top Bottom