screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,856
- 15,864
Baada ya kuangalia comment za wabongo wengi kwa mda mrefu kuhusu video mbalimbali nimegundua wabongo wanapenda video za marangirangi, yaani mbongo akiona umetoa video isiyo ya rangi hata ufanye ubunifu vipi ataiona mbaya tu, mfano video yenye rangi kama ya 'Hello' ya Adele akiitoa msanii wa bongo itaonekena mbaya wakati wazungu kule wanaiona kali hadi wanampa matuzo, so wasanii wa bongo inatakiwa wasome saikolojia za mashabiki wao kabla ya kutoa video. Diamond naona kashatusoma saikolojia yetu Baada ya video ya wimbo wake BumBum aliomshirikisha Iyanya kutofanya vizuri, maana ndo rangi zilezile wasizotaka wabongo, kuanzia hapo anatoa mavideo meupe tu ya Godfather, wasanii wa bongo wekeni akilini hili!!!