Wasanii wa Tanzania msione aibu kumtumia Kenny wa Zoom Production ku-shoot video zenu, eti kwa kuwa kampuni inamilikwa na Diamond !

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Kiukweli huyu jamaa kwa sasa ni shida, Anashoot video zenye ubunifu mkubwa na bora sana.

Kumbuka miaka michache iliyopita tulikuwa na Adam Juma lakini kwa bahati mbaya wakati wasanii wakipiga hatua yeye akabaki vilevile, hatimaye akaondolewa sokoni na Nisher.

Nisher kawafundisha kazi kina Hanscana na Khalfan wakatumia nafasi ya kuhamia Dar kumwondoa sokoni Nisher aliyekuwa Arusha.

Miaka miwili nyuma Hanscana alikuwa anatamba kweli kweli, zaidi ya 98% ya video za wasanii ali-shoot yeye. Lakini mpaka leo naona anashoot vilevile sijui uwezo umefika mwisho.

Ssasa naona huyu Kenny video zake balaa lakini wasanii ni kama wanamkwepa fulani sijui kwa kuwa Zoom Production ni kampuni ya Diamond. Akili ya wabongo !!

Hebu tuachane roho za kwanini, ili tupige hatua.

Sample:

1.

2.

3.
 
Adam juma aliamua mwenyewe kupumzika kabla huyo Nisher hajavuma, ingawa alipopata jina alianza kumdiss Adam.

Jamaa hakuondolewa sokoni kisa ushindani, alitangaza mwenyewe anajitoa kwenye hiyo kazi ya kushoot video na hata akija kushoot hatomtoza mtu shilingi.

Huyu jamaa hebu tumpeni heshima yake, Adam Juma ndiyo kaleta mapinduzi ya videos akiwa visual lab kabla ya kuja na Next level hadi anastaafu hiyo kazi.

Huyu alisababisha video zipigwe virungu sana na Salama Jabir kipindi kile cha Planet Bongo. Kwa kuleta vitu bora
 
Duh Kalaghe alikuja vizuri sana,Razack 4d na Landline production ila dogo kajificha zake Azam Tv pale muda mrefu mdogo wangu kajipoteza mwenyewe kirahisi tu.
Kuna kukata tamaa pia au kushindwa kuhimili ushindani.
 
Adam juma aliamua mwenyewe kupumzika kabla huyo Nisher hajavuma, ingawa alipopata jina alianza kumdiss Adam.

Jamaa hakuondolewa sokoni kisa ushindani, alitangaza mwenyewe anajitoa kwenye hiyo kazi ya kushoot video na hata akija kushoot hatomtoza mtu shilingi.

Huyu jamaa hebu tumpeni heshima yake, Adam Juma ndiyo kaleta mapinduzi ya videos akiwa visual lab kabla ya kuja na Next level hadi anastaafu hiyo kazi.

Huyu alisababisha video zipigwe virungu sana na Salama Jabir kipindi kile cha Planet Bongo. Kwa kuleta vitu bora
Lakini hata sasa kuna video kashoot, ingawa ni moja moja sana !
 
Adam juma aliamua mwenyewe kupumzika kabla huyo Nisher hajavuma, ingawa alipopata jina alianza kumdiss Adam.

Jamaa hakuondolewa sokoni kisa ushindani, alitangaza mwenyewe anajitoa kwenye hiyo kazi ya kushoot video na hata akija kushoot hatomtoza mtu shilingi.

Huyu jamaa hebu tumpeni heshima yake, Adam Juma ndiyo kaleta mapinduzi ya videos akiwa visual lab kabla ya kuja na Next level hadi anastaafu hiyo kazi.

Huyu alisababisha video zipigwe virungu sana na Salama Jabir kipindi kile cha Planet Bongo. Kwa kuleta vitu bora
Acha upotoshaji Adam Juma aliondolewa kwenye game, kitu kilichowagombanisha na Nisher ni pale kila Nisher alipokuwa akishoot video Adam anaikosoa hadharani facebook hadi Nisher siku moja akammaindi.
Kama alisema atakuwa anashoot bure mbona video ya Linex na Diamond aliishoot kwa ela na ikatoka mbaya hadi Linex akammaindi sana kuwa amechangia kuufanya wimbo usihiti kwa video mbaya wakati yeye ndiye mtu wa kwanza kumlipa ela nyignie kwenye ile video amemlipa milion4 na hakuna mtu aliwahi kumlipa mlioni 4.
Nikashangaa kumbe wasanii walikuwa wanaongopea mara video nimefanya kwa milion 10 visual lab kumbe hakuna lolote.
Adam akamjibu Linex kuwa yuko tayari kuirudia ile video bure kabisa kama anaona ameiharibu.
Any way Adam alichange mwelekeo wa video za bongo apewe heshima ila ilifika kipindi naye ubunifu wake ukafika kikomo akaondolewa kwenye game huo ndo ukweli.
 
Duh Kalaghe alikuja vizuri sana,Razack 4d na Landline production ila dogo kajificha zake Azam Tv pale muda mrefu mdogo wangu kajipoteza mwenyewe kirahisi tu.
Kalaghe video zake zilikuwa zina taste inafanana we video zote indoor na ma rangi rangi lazima ilikuwa zichokwe sema yeye alipoona game linachange akwa amepata deal sijui na shirika gani ya kutengeneza documentary.
 
Back
Top Bottom