Wabongo mnaoshi ulaya acheni sifa za kijinga

Wabongo mnaoshi ulaya acheni sifa za kijinga

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,468
Reaction score
7,738
Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga .

Mkipata wekezeni

Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa

Watoto wenu mnawaacha katika umasikini.

Mkizeeka pia mnatia aibu.

Kuna mmoja ameona amefia huko majuu kumleta mpaka sasa imekuwa mtiti na alikuwa ni attention seeker
 
Huku US Kuna mifumo ya uzikaji ya kuchoma moto maiti, Wala kurudi hom sio mchongo tena.
 
Back
Top Bottom