Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 492
- Thread starter
-
- #41
Wengine hupenda kuambiwa wanavyoamini wao, ukisema tofauti, utasikia sio kweli, unapozungumzia ukuta WA kioo huishiii kuongelea bei yake pekee bali kuna mambo ya energy consumption,na insulation japo Bei ya tofali yenyewe kwa sm ni kama Mara tatu ya bei ya kioo.
😀😀😀😀😀Unaweza kuiga kujenga kwa mbao halafu mchwa wakala nyumba nzima.
Ni kweli aluminium partition tu sqm moja ni 110,000 wakati vioo ni mm4-5, sasa piga hesabu hiyo itacost kiasi gani maana lazima kioo liwe na mm za kutosha na kigumu.Sio kweli mkuu.
Sio kweli Kaka, walikuuzia vya saloon basi, hivyo vioo, kuanzia unene ni tofauti pia huwa vima proofing materials Kama za joto,sauti na wakati mwingine hadi bullet proof wanainstall humo.
Mlimani city ni ghorofa?, kinachopelekea expansion joint ni jengo kuwa refu kiupana (mapana), na sio kuwa ghorofa, maghorofa yote kariakoo hayana expansion joint, kwa sababu ni marefu kwenda juu lakini si mapana.Hahah unazingua... Expansion ni mpka kwenye ghorofa, tena sio lazima magorfa yote....
Ni kweli aluminium partition tu sqm moja ni 110,000 wakati vioo ni mm4-5, sasa piga hesabu hiyo itacost kiasi gani maana lazima kioo liwe na mm za kutosha na kigumu.
Halafu joto, kioo ni good conductor of heat wakati wa mchana halafu kina loose heat haraka usiku.
Pia huku kwetu security mkuu, we nyumba umeerka gate, na kila dirisha lina grill za chuma bado watu wanakata wanaondoka na flat tv.
Sasa ujengee vioo kwa sehemu kubwa si ndiyo balaa
Hujui kwamba maghorofa ya vioo hapa kwetu yanaongeza energy consumption mkuu...Ingekuwa Tanzania hakuna nyumba za vioo ningekuelewa. Kwanza kabla ya huu mpango wa grill yale magorofa ya Ilala madirisha yalikuwa ni vioo vitupu (luva)
mmmh
Bei ni $1 - 20 kwa square meter.
Mkuu achana na habari za mtandaoni kioo cha mm5 pale kwa waturuki kina ukubwa wa ft 7*5.5 ni 74,000-78,000 hicho ni kioo cha kawaida ambacho huwezi tengenezea ukuta bado kuna handle za hivyo vioo
Bei ni $1 - 20 kwa square meter.
Ndicho nlichomwambia kioo ni good conductor of heat ndiyo maana ghorofa zote zenye vioo zina AC muda wote.Ndugu Yangu Iyo Picha Ya Mwisho Ni Risk Sana Kujengea Kibongo Bongo Umeme Hauelewek Iyo Kitu Ikishashika Moto Tutatafutana Boss Wangu
Sio lazima uanzishe ugomvi,au lazima ugombane na watu,kuna wengine hawana nature ya ugomvi,pia unaweza kujenga nyumba kwa tofali then ile maste yako ukaipiga ya vioo vigumu,inakua mubashara kbsaUsianzishe ugomvi wa mawe ukiwa unaishi nyumba ya Vioo
Magomeno,mbagala,vingunguti ujenge hivyo ili? Uchunguliwe jiulize GARI IMETEMBEZWA JAPANI WEEEEEE IKIJA BONGO MPAKA UWEKE TINTED mara uwekewe alarms mara wachomeleeee nini sijuw
Hujiulizi kwa nini tu?
Niwekee Na Gharama Niendele Kujenga Magorofa Yangu Kwa NdotoNdicho nlichomwambia kioo ni good conductor of heat ndiyo maana ghorofa zote zenye vioo zina AC muda wote.
And by the way kuna vioo maalum siyo hivi vya kawaida vya mm4-5
Unatunia treated timberUnaweza kuiga kujenga kwa mbao halafu mchwa wakala nyumba nzima.
Sasa usiombe kiwe kimekata kona yan kimejikunja kwenye kila pande au upande mmoja kutengeneza U au L hiyo ni special order kutokana na vipimo bei yake si ya kitoto.Niwekee Na Gharama Niendele Kujenga Magorofa Yangu Kwa Ndoto
Acha wewe. Kuna nondo 12mm zimelazwa horizontally.Ingekuwa Tanzania hakuna nyumba za vioo ningekuelewa. Kwanza kabla ya huu mpango wa grill yale magorofa ya Ilala madirisha yalikuwa ni vioo vitupu (luva)