Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 492
Mkuu Gharama kubwa mno. Ukumbuke kuwa kioo utakacho jengea hivyo sio hiv vya kawaida, ni kioo cha Gharama si mchezo
Sipo hapa kwa mabishano bro kama huamini sio kesi. We unafikili kioo utakacho tumia hapo ni hiv vya kawaida?Sio kweli mkuu.
Sipo hapa kwa mabishano bro kama huamini sio kesi. We unafikili kioo utakacho tumia hapo ni hiv vya kawaida?
expansion joint inakaa wap hapo?Usiku mwema unakuwa hivi:
Au hivi
Kama ni vibaka kwanini vyumba vya ndani mpaka kwenye magorofa vinatumia matofali. Mwisho wa siku “expansion joints” zinabuma?
Vyumba vya namna hii vina ubaya gani?
Gharama ya securiy yake hapo bora tofali tu....
Hahah unazingua... Expansion ni mpka kwenye ghorofa, tena sio lazima magorfa yote....expansion joint inakaa wap hapo?
Weka picha na bei ya hicho kiooNimeshavinunua ni bei za kawaida tu mkuu haifikii gharama ya vinavyotumika kujenga ukuta kama mchanga, kokoto, linta, kench, zege, dirisha, vyuma nk.
Grill ni uchafu prince, tunaweka tu kwa sababu hyo hyo ya security!Kumbuka tofali zinawekewa grill kwenye madirisha. Haijakatazwa kuweka grill nje ya kioo.
Grill ni uchafu prince, tunaweka tu kwa sababu hyo hyo ya security!
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app