Wabongo kwa misemo mimi hoi

waso haya wana mji wao
wamekushindwa watwana tutakuweza sisiwaungwana
 
haya ndo maji...kama usipokoga utayanywa au kuyanawia
 
simshobokei mtu na mambo yake
nampotezea mtu n hulka zake
 
moyo wangu upo shwari sishindani na mjinga
wallahi mie jeuri mdomo wangu nafunga!!!
 
umelianzisha zogo ili ujitaftie jina???
tumetathminihadhi yakoipo chini kma simu ya kichina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…