Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Dec 15, 2014 #321 serio said: mwanaume ni kumwaga ndani, "withdrawal" achia atm..!! Click to expand... lol...................
serio said: mwanaume ni kumwaga ndani, "withdrawal" achia atm..!! Click to expand... lol...................
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Dec 15, 2014 #322 mamaafacebook said: chuki si solution ya kunipaka machafu....... na si mkidole machoni kama utanipa upofu Click to expand... Mla mla leo mla jana kala nini?
mamaafacebook said: chuki si solution ya kunipaka machafu....... na si mkidole machoni kama utanipa upofu Click to expand... Mla mla leo mla jana kala nini?
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Dec 16, 2014 #323 .....we unachunwa, mwenzio wananigea bure.
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,579 Reaction score 55,632 Dec 16, 2014 #324 mke mwema anatoka kwa bwana,mume mwema anatoka benki
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 16, 2014 #325 HARUFU said: Mla mla leo mla jana kala nini? Click to expand... anaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali
HARUFU said: Mla mla leo mla jana kala nini? Click to expand... anaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Dec 16, 2014 #326 Kwa vyombo wewe! nakupa pongezi. Haya mimi hapo chini nakuja na hii:- mamaafacebook said: anaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali Click to expand... mamaafacebook said: anaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali Click to expand... Kwa mjomba hakuna urithi
Kwa vyombo wewe! nakupa pongezi. Haya mimi hapo chini nakuja na hii:- mamaafacebook said: anaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali Click to expand... mamaafacebook said: anaenithamini ndie ninaemjali umeniona wa nini name potelea mbali Click to expand... Kwa mjomba hakuna urithi
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 17, 2014 #327 HARUFU said: Kwa vyombo wewe! nakupa pongezi. Haya mimi hapo chini nakuja na hii:- Kwa mjomba hakuna urithi Click to expand... hata kama tupo mia mie ndo pepo yake ya dunia
HARUFU said: Kwa vyombo wewe! nakupa pongezi. Haya mimi hapo chini nakuja na hii:- Kwa mjomba hakuna urithi Click to expand... hata kama tupo mia mie ndo pepo yake ya dunia
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Dec 17, 2014 #328 Kuna watu wa pwani huku naona wanatiririka
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Dec 18, 2014 #329 mamaafacebook said: hata kama tupo mia mie ndo pepo yake ya dunia Click to expand... Umaridadi huficha umasikini
mamaafacebook said: hata kama tupo mia mie ndo pepo yake ya dunia Click to expand... Umaridadi huficha umasikini
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,626 Dec 18, 2014 #330 Uki-delete,mie naformat
Loading JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 594 Reaction score 101 Dec 18, 2014 #331 Nitaipitia soon
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 19, 2014 #332 HARUFU said: Umaridadi huficha umasikini Click to expand... lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na kujumlisha kuna 'x' na kuzidisha haha
HARUFU said: Umaridadi huficha umasikini Click to expand... lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na kujumlisha kuna 'x' na kuzidisha haha
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 19, 2014 #333 Mafikizolo said: Uki-delete,mie naformat Click to expand... anaependa kukusema usimseme mgeuze big g umle umteme
Mafikizolo said: Uki-delete,mie naformat Click to expand... anaependa kukusema usimseme mgeuze big g umle umteme
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 19, 2014 #334 Loading said: Nitaipitia soon Click to expand... kwake mm malkia taji ameshanivika hata mnichukia bure tahangaika
Loading said: Nitaipitia soon Click to expand... kwake mm malkia taji ameshanivika hata mnichukia bure tahangaika
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 19, 2014 #335 Mtoto halali na hela said: Kuna watu wa pwani huku naona wanatiririka Click to expand... umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha roho!!
Mtoto halali na hela said: Kuna watu wa pwani huku naona wanatiririka Click to expand... umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha roho!!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Dec 19, 2014 #336 mamaafacebook said: umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha roho!! Click to expand... aiseeh.....!
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 19, 2014 #337 Mtoto halali na hela said: aiseeh.....! Click to expand... kama unataka kutamba ngojea taa zizimwe..... kwnye mwanga huna nambanguo zenyewe mpaka azimwe............
Mtoto halali na hela said: aiseeh.....! Click to expand... kama unataka kutamba ngojea taa zizimwe..... kwnye mwanga huna nambanguo zenyewe mpaka azimwe............
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Dec 19, 2014 #338 mamaafacebook said: lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na kujumlisha kuna 'x' na kuzidisha haha Click to expand... Zawadi hii ni yako nakukumbuka mwenzako
mamaafacebook said: lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na kujumlisha kuna 'x' na kuzidisha haha Click to expand... Zawadi hii ni yako nakukumbuka mwenzako
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 19, 2014 #339 HARUFU said: Zawadi hii ni yako nakukumbuka mwenzako Click to expand... ahhah unanichosha bana
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Dec 19, 2014 #340 Sikuchoshi bana, wewe mwenyewe unafahamu fika kuwa mimi sikukaribii hata theluthi linapokuja suala la vyombo. Mimi nakuchokoza tu ili utuwekee vyombo. Tunapata burudani kutoka kwako. Hebu angalia ulivyoshuka vyombo kama hauna akili nzuri. Haya hapo chini nakuja hivi:- mamaafacebook said: anaependa kukusema usimseme mgeuze big g umle umteme Click to expand... mamaafacebook said: kwake mm malkia taji ameshanivika hata mnichukia bure tahangaika Click to expand... mamaafacebook said: umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha roho!! Click to expand... mamaafacebook said: kama unataka kutamba ngojea taa zizimwe..... kwnye mwanga huna nambanguo zenyewe mpaka azimwe............ Click to expand... mamaafacebook said: ahhah unanichosha bana Click to expand... Mchumia juani hulia kivulini
Sikuchoshi bana, wewe mwenyewe unafahamu fika kuwa mimi sikukaribii hata theluthi linapokuja suala la vyombo. Mimi nakuchokoza tu ili utuwekee vyombo. Tunapata burudani kutoka kwako. Hebu angalia ulivyoshuka vyombo kama hauna akili nzuri. Haya hapo chini nakuja hivi:- mamaafacebook said: anaependa kukusema usimseme mgeuze big g umle umteme Click to expand... mamaafacebook said: kwake mm malkia taji ameshanivika hata mnichukia bure tahangaika Click to expand... mamaafacebook said: umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha roho!! Click to expand... mamaafacebook said: kama unataka kutamba ngojea taa zizimwe..... kwnye mwanga huna nambanguo zenyewe mpaka azimwe............ Click to expand... mamaafacebook said: ahhah unanichosha bana Click to expand... Mchumia juani hulia kivulini