Anaweza, mimi mwenyewe namchombeza tu ili alete vyombo
Haya tuendelee mimi naanza na hii:-
Alaaaaa kumbe
mamaafacejero uko poa.salute!
Siugui Busha naugua tezi dume
Kama limekuuma tafuta mchongoma upige ngoma
Thubutuuuuuu yake....
13 Aliekupandisha ndie atakae........................
Mmmh! ww mwanamke una manenoWewe appetizer tu
Mimi ndo main dish!!
Mmmh! ww mwanamke una maneno
Kheri ya nusu shari kuliko shari kamiliNikinyamaza mwacheka
Nikisema mwateta
Je nikiimba si mtaniweka ringtone kila saa tararira pararira
Kheri ya nusu shari kuliko shari kamili
Akhsante sana, chukua hii:-Thamani yangu hushushi napendeza sina chuki
Kwa raha zangu naishi nikosapo sina chuki
Akhsante sana, chukua hii:-
Kofi la mpenzi haliumi
Nimeipata leo hii:-
Mmbea haulizwi
Nyingine ya leo:-Mmbea mpe headline tu stor akatafte mwenyewe
Nyingine ya leo:-
Kiporo hakihitaji moto mkali
Tendo la ndoa ni furaha si karaha usinilazimisheNdege tulia tunduni usinitie huzuni
Nyingine ya leo:-
Kiporo hakihitaji moto mkali