Wabongo kwa misemo mimi hoi

Mshikaki hauchomwi kwa jiko la gesi,....hata bibi alikuwa kijana
 
Hata saa iliyosimama kuna wakati inasema kweli!
 
Ahhha chukua hiii

Chukieni mpendavyo semeni mtakavyo
Waja ndivo mlivyo na mim ntabaki kama nilivyo
Wewe hii naona idara yako sikuwezi.

Ngoja na mimi nikuongezee hii:-

Wape wape vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao - KHADIJA KOPA(Malkia wa mipasho)
 
Wewe hii naona idara yako sikuwezi.

Ngoja na mimi nikuongezee hii:-

Wape wape vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao - KHADIJA KOPA(Malkia wa mipasho)

Nina utamu wa kuku naliwa hadi mifupa
Utajiju ww mwenye utamu wa samaki unaliwa miba inatupwa
 
Nina utamu wa kuku naliwa hadi mifupa
Utajiju ww mwenye utamu wa samaki unaliwa miba inatupwa
Endelea kuweka vyomba mimi vyangu vya kubabaisha vimeisha kila nikifikiria sipati chombo cha kuweka.

Babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwa - Mzee Majuto
 
Endelea kuweka vyomba mimi vyangu vya kubabaisha vimeisha kila nikifikiria sipati chombo cha kuweka.

Babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwa - Mzee Majuto

Hahha chukua hiyo

Sina.roho mbaya maishani mwangu
Ntakufa kama muwa na utamu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…