Wabongo kwa misemo mimi hoi

angalia unavyotapatapa huku umenyamaza kule huitiki kama umekula vitu vya marehemu
 
nakuambia wazwaz maisha hujayajua
mtoaji ni mwenyezi alieumba dunia
 
sijabanduka ngozi mwilini kwa maneno...... sioni ajabu yakini mpaka kwenye kanga yamo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…