ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Kuna kauri nyingi sana mbovu lakini mm naichukia hii mtu unamuliza kitu kwa upole kabisa anakujibu shortly eti hata mm mgeni na ww ipi kauri ina kuboa
sasa kama hajui asemeje?
sasa kama hajui asemeje?
Na wewe kumbe una kauri mbovu eeh?
Na wewe kumbe una kauri mbovu eeh?
Na wewe kumbe una kauri mbovu eeh?
Nimejaribu kulitafuta ilo neno naona linamaana nyengine kabisa, kwaio me itakua sina kauri yeyote

Ahsante kwa msaada wako mkuu