Wabongo acheni kukariri maisha

Ndoa ni kujipa stress.
Ndoa ni utapeli.
Ndoa itakuharibia maisha yako.
Ndoa ilikuwa zamani sio hiki kizazi cha AI.
Ndoa ni ajira kwa mwanamke.
Kama walivyosema ikimbieni zinaa, basi ikimbie ndoa hivyo hivyo.
 
Amka braza. Wanataka kukuibia.

Kuna mtu kazaa mara 3, watoto wote kila mmoja ana baba yake.
Siku za nyuma anachangisha kwamba anaenda kuolewa. Na kiasi kabisa,kaweka.
Badae,eti anaenda kwao kufanyiwa Kitchen party! Jamani! Hata kumuangalia tu! Mhuni.
Sasa ukiachana na hilo. Kwanza,huyu anaeoa,ana akili kweli? Acha wapigwe wengine hawajitambui. Yaani umemkuta ametumika sana. Second hand! Uzidiiiiii tena oludi modeli. Basi tuu
 
Siwaelewi
 
Hivi kwa nini makanisani watu wanafuatilia sana mambo ya watu, halafu ndio wanaongoza kusengenya wenzao, yani shida tupu, hata mkeo unakwenda nae kanisani mwambie akae mbali na wapendwa.
 
Ndoa ni kujipa stress.
Ndoa ni utapeli.
Ndoa itakuharibia maisha yako.
Ndoa ilikuwa zamani sio hiki kizazi cha AI.
Ndoa ni ajira kwa mawanamke.
Kama walivyosema ikimbieni zinaa, basi ikimbie ndoa hivyo hivyo.
Kuna jamaa yangu baada yakuoa Kwa ndoa tuu, sasahv analia, kabla ya ndoa mambo yalikua poa
 
Kama mwanamke unampenda nenda kwao ukatoe mahari achana na hizo janja janja za kwenda kanisani, ukitoa mahari pande zote za kikeni na kiume zikikubari hiyo ni ndoa kamili hakuna haja ya kwenda kanisani
 
MIMI SIENDAGI NDIO
Ndio mana nlikuwa namwambia huyo bwana mkubwa na mimi nna mwanamke anasali KKKT ndugu yangu ikifika jumamosi inabid nijiandae na sound ya kukwepa kwenda huko alafu ana aminia mona kwa moja aisee mpaka nakuwa sielew ndio mana wachungaji ni rahis sana kutulia wanawake zetu aisee, ila atleast me naendaga mara moja moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siwaelewi
Komaaa. Yaani uhangaikie mapene yako,wale kisengesenge? Kwamba kufunga ndoa ni elfu 10, mara sadaka mara nini. Ukiondoka kamati inakaa wanasema mjinga mwingine kaliwa.

Badala ya ukae uangalie muvi unayoipenda,unaenda kupigiwa kelele eti unasali?! Nini wanasali nini! Hao hao ndo wanaotiana mimba,eti wana kwaya. Jopo la wazinzi tu
 
Mimi SIENDAGI kabisa
 
Kwasasa imekua biashara
 
Kubali mawili. Uwe mwanamke,uendelee kwenda. Au uwe mwanaume,simamia unachokiamini.
Unapiga sound ili usiende? Hujiamini! Iko hivi. Kwenda huendi,ila akitaka aende. Akiona hawezi kuishi na wewe,aende. Yupo ambaye nae haendi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…