barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Third world na first world??? Hujajua wanavyoishi huko wengi wao ndo maana wasema hivi. In fact, huku ndo first world na kule third world kwao, sio wote ila wengi.Hizi mada za wabeba mabox na wala vumbi zishapitwa na wakati.. Ndo maana watu wamechuna, maisha ni popote tu ukitusua bongo pouwa tu na usipotusua ulaya pouwa tu ila tofauti ni kua mmoja anaishi third world na mwingine first world hio ndio tafauti...
Teh daddy niletee tu na wewe ukirudi boxini[emoji23] [emoji23]We hautaki simu?
WavibiritiNa wanaobaki bongo maisha yamewashinda unawaweka kwenye kundi gani?
Ni kitendo cha kuinama unaacha makalio wazi huku nyuma mzungu anakufanya kitu mbaya! Si unajua unapotaka kubeba mzigo mzito lazima uiname? Mwulize Mzee Mwanakijiji, Nyani Ngabu, King'asti (huyu yeye huwa anashuhudia kaka zake wanavyosota), Le Mutuz yeye yalimchosha akaachia kamba!Hivi "Kubeba Box" ndo kufanyaje...? Huu msamiati umenipit kidoogo......!
Vijana wengi wa kiafrika waliokwenda ulaya au marekani kazi rahisi kuzipata ni za kwenye maduka na supermarkets. kazi zenyewe zinakuwa hasahasa ni kubeba maboxi ya bidhaa mbalimbali na kuyapanga au kupanga bidhaa vizuri ndani ya duka. inaweza kuwa kubeba box toka store hadi dukani au kutoka sehem moja hadi nyingine ndani ya supermakert. ndio maana hawa wanaitwa wabeba box.Hivi "Kubeba Box" ndo kufanyaje...? Huu msamiati umenipit kidoogo......!
Ntakuletea na Shera la harusiTeh daddy niletee tu na wewe ukirudi boxini[emoji23] [emoji23]
IHahaha daddy naona umenikomalia mwaka huu usipite tehNtakuletea na Shera la harusi
Teh teh..Mwaka huu ukipita,Mwakani Ntakutoa kanisani kama shukrani ya pekee au fungu la kumiIHahaha daddy naona umenikomalia mwaka huu usipite teh
Hahaha kanitoe tu, hakuna jinsiTeh teh..Mwaka huu ukipita,Mwakani Ntakutoa kanisani kama shukrani ya pekee au fungu la kumi
Sio kweli. Uki over stay ni kosa lakini ukiamua kurudi kwenu unarudi tu bila shida. Kitakachokufanya usirudi kwenu labda ni kukosa nauli ila sio kwa kuogopa kosa la kuishi kinyume na sheria, hata ukiondoka watakachofanya ni kukupiga ban tu muda kadhaaUzi una ukweli mtupu huu.
Wapo wengi sana, wengine visa zilishaisha sasa ni illegal migrants huko huko, wakiwaona polisi wanakimbia na kurudi hawawezi kwa kosa la ku-over stay visa zao. Wapo kwenye limbo state, full stress na maisha ni ghali sana huko.
Kwa kweli wengi wana hali mbaya sana huko, wangejilipua tu warudi au waende ktk balozi huko kwa msaada zaidi.
Sio kweli. Uki over stay ni kosa lakini ukiamua kurudi kwenu unarudi tu bila shida. Kitakachokufanya usirudi kwenu labda ni kukosa nauli ila sio kwa kuogopa kosa la kuishi kinyume na sheria, hata ukiondoka watakachofanya ni kukupiga ban tu muda kadhaa
Hehehehe simu nitakuletea sasa nisipokupa wewe ntampa nani tena??Nilikuomba uniletee simu kwa siri umekuja kunianika sasa
Hehehehe simu nitakuletea sasa nisipokupa wewe ntampa nani tena??
mkuu naomba ufafanuzi kuhusu dagi za huko majuuughaibuni hakuna maisha.kupiga dagi eti unanywea gheto kwako utafikiri House boy
Acha ale vumbi tu maana hakuna namna nyingineHahaah Ahsante sana achana na maneno ya mtoa mada hana sera