Wabakaji

Wabakaji

Katika watu ambao nawachukia duniani ni wabakaji wa watoto, mara nyingi athari za ubakaji wao hudumu kwenye akili na fikra za mtoto kwa muda mrefu sana na kumharibia maisha...... washukuru kuna sheria na magereza vinginevyo ni kuwazika wakiwa hai
 
Tz. kuna walemavu wengi sana wa akili,yaani picha imetolewa haina maelezo ya kutosha watu wameanza kutoa maoni ya kila namna na hata hukumu.
Hakika kama mambo yataendelea hivi baada ya miaka 4 mbele kuna hatari ya kukoda hata viongozi kabisaa.
Too much Tanzanians to be talkative and it's pumba talks with mwendokasi and without reasoning/logic.
Just stop and change please asap,God created us for his own example and gave/endowed capability to rule everthn onearth...sasa kwa mtaji huu ni zero for sure siyo mdogo siyo mkubwa pumba tuu
 
Katika watu ambao nawachukia duniani ni wabakaji wa watoto, mara nyingi athari za ubakaji wao hudumu kwenye akili na fikra za mtoto kwa muda mrefu sana na kumharibia maisha...... washukuru kuna sheria na magereza vinginevyo ni kuwazika wakiwa hai
Duuu
 
Hahahaha Hata kama yeye nwenyewe alisambaza picha akimsukumia moto mgoni?

Sioni kama kaonewa, kama aliweza kupanga kwamba siku ya tukio afanye hivyo na asambaze picha means alikua na control dhidi ya matendo yake angeweza kujizuia siku hiyo kama angeamua. Pia inaonesha alikua na nia ovu tangu mwanzo.
 
Duuu mshakaji alijipanga
 
Hahaha mshana mpaka na wewe maisha yamekupagawisha. Kichwa kinachoka.kukomaa na mambo makubwa kunapungua
 
ndege JOHN.me nataniana na mtani Wangu mshana .kichwa naona kimepata moto naona same au mwanga ajaenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom