Wababe wa pure mathematics tupeane majibu hapa

Umenikumbusha mambo ya Mkwawa complex miaka ya 80, mwalimu Hans kutoka Norway alikuwa anashusha sana mambo.
 
Kmk CCNP Injinia uzi umemtoa mafichoni 😂😂😂 kumbe yupo anatuzoom tu mamaye
 
Hahaha haha maisha!!!
JPEG_20210806_021044_7652545091910028441.jpg
 
Ngoma nyingine wakuu [emoji2][emoji2]View attachment 1829279
Karibia sasa nitatoa manuals mbili za Calculus zina titles Solved Problems in Differential & Integral calculus . Zina maswali yenye soultions zaidi ya mia moja kila manual, na mojawapo ya manual ina solutions za yale maswali zaidi ya 20 uliyowahi kuyaleta humu jukwaani mwaka 2012, kama sikosei. Zitattoka kabla ya mwisho wa mwaka huu, au mwanzoni kabisa mwa mwaka ujao. Sasa hivi kazi iliyopo nafanya compilation tu, na baada ya hapo manual zote mbili zitakuwa ziko tayari. Ubarikiwe na Bwana
 
Safi sana mkuu, itakua in soft copy?
 
Back
Top Bottom