Wababe wa pure mathematics tupeane majibu hapa

Wababe wa pure mathematics tupeane majibu hapa

Amepata.

Nilitumia approach ambayo siyo! Ni kama hizi hapa

Ngoma nyingine wakuu [emoji2][emoji2]View attachment 1829279
Jibu:
arcsin(X^4-14X^3+X^2)+C;
Naweza kufanya kwa njia yangu nyingine tofauti ila muda hautoshi
Njia mojawapo inaweza kupatikana hapa.

Simply copy and pate this:

(16x^3-42x^2+2x)/(-16x^8+112x^7-204x^6+28x^5-x^4+1)^(1/2)

..and then click go!
 
Mhhh umenikumbusha mbalii hii Calculus
Differentiation and Integration hehe..

Bila Calculator sichomoi sikuhz
 
Jibu:
arcsin(X^4-14X^3+X^2)+C;
Naweza kufanya kwa njia yangu nyingine tofauti ila muda hautoshi
Njia mojawapo inaweza kupatikana hapa.

Simply copy and pate this:

(16x^3-42x^2+2x)/(-16x^8+112x^7-204x^6+28x^5-x^4+1)^(1/2)

..and then click go!
Huyu developer ametisha sana
 
Kabisa mkuu yaan hii elimu haijatusaidia lolote labda wenzetu mainjinia wa madaraja
Kabisa mkuu yaan hii elimu haijatusaidia lolote labda wenzetu mainjinia wa madaraja
Ukisoma physics hizo hesabu zina tumika sana sana.Mfamo kwenye wave mechanics kuna differential za kufa mtu, Algebra ndio usiseme.Quantum physics imejaa hesabu tupu(Schrodinger equations),
Kwenye electronics kuna akina Boolean algebra nk.
Hesabu zina application sana tu.
 
Msaada hili
Screenshot_20210624-163424.jpg
 
Ndio mkuu.... tulikua na njiro boyy.... clement hubert.... chini ya stering kinunda na P.didy
Si tulimaliza na kina budodi na hamisi solo, vipo njiro yuko wapi siku hizi?

Mara ya mwisho kuonana naye ilikua 2010 UDSM.
 
Ukisoma physics hizo hesabu zina tumika sana sana.Mfamo kwenye wave mechanics kuna differential za kufa mtu, Algebra ndio usiseme.Quantum physics imejaa hesabu tupu(Schrodinger equations),
Kwenye electronics kuna akina Boolean algebra nk.
Hesabu zina application sana tu.
Humu mtandaoni watu huwa wanasema CPA ni ngumu hatariii.Hiyo CPA ñi ngumu kuliko Fizikia au Hisabati?
 
Back
Top Bottom