wababa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wababa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chauro, Sep 29, 2010.

 1. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ivi mwanaume mwenye ndoa anaweza kukaa muda gani bila kumgusa mkewe namaanisha wanaishi vizuri tu lakin jamaa haonyeshi interest kwenye iyo kitu labda mke amuombe hata mwezi unakatika nini inaweza kuwa sababu h umna ugomvi kati yao hapo?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh mi sjaolewa nawala sjui swaga izo bt mmh apana HAWEZEKAN MWANAUME ASMGUSE MKEWE MWEZI kwa mazngira ya kawaida
  labda km anaumwa na apo utajua that mwenzangu anaumwa au hayupo kwenye mudi kutokana na biashara,kazi kuwa mbaya ,ana kies kubwa mahakamani that znamchanganya mpk anashndwa KUSMAMISHA DEDE... nk
  sasa uyo km hata awajagombana y awe ivyo????
  ana kmada au hadhi ya kumuona km uyo mke ni mkewe imekwisha so anamchukulia km dadake tu...!!!!!!!
  KUULIZA JF SI NJIA SAHIHI NADHAN ANGEMFACE MUMEWE NA KUMWULIZA HP ANGEPEWA MAJIBU MEMA....labda angeleta ayo majibu ili ashauriwe km yana ukweli kdg au danganya toto kutokana na xpernc za watu manake jf aminia hakuna kinachokosa jibu umu!!!!!
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dah kumbe naweza du ze nid ful kwako [​IMG][​IMG][​IMG]ni PM basi tujadili kwa kirefu zaidi
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Da Sophy
   
 5. e

  ejogo JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Feelings zimeisha!
   
 6. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Anakamua nje
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Chauro:

  Wewe binafsi umeoa/umeolewa?

  Ndoa ni Tendo la Ndoa - Bila "kumgusa" maana yake "hamna Ndoa" unless kuna sababu zingine e.g Magonjwa!
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hapo si bure.
  aidha ;
  ni mgonjwa
  anacheat.
  no feelings.
   
 9. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #9
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  huyo atakuwa MGONJWA; the truth is, haya mandugu huwa hayawezi kupata usingizi bila kusumbua wenzao, hata kama yamechoka vipi
   
 10. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kuna sababu lukuki. kwanza chunguza tangu siku ya kwanza kukutana hadi hali hiyo inajitokeza; chambua, toa na kujumlisha unaweza kujua sababu
   
 11. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  huu ugonjwa sijui utaisha lini, maana kila mtu ni PM, wewe si ndo unatakiwa umPM ili ijiexpress!!!???
   
 12. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  well said FP yani kile kichwa cha chini kikiinuka tu, hauji kama umechoka wala nini as far as anajua sio tarehe za mshahara, atafanya kila linalowezekana agonge ngozi.
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hata gari kabla ya kutoka kiwandani linafanyiwa test
   
Loading...