hahahahaa sie kwetu utasikia we mama nanihii mwanao amejisaidia njoo umchukue
Akisha valishwa vizuri utasikia akiwambia marafiki zake, check chata langu ilo.
kuvua boxer tu shughuli sembuse kuogesha mtoto? haya tusubiri wakuje watuambie.
Ni baba mzuri japo hawapo wengi wa aina hiyo.
.............hata hivyo siyo wakuwaamini kihiivyo nao wana madhaifu yao fulani fulani.