Wababa mukichepuka musitoe dozi kubwa...Tunachanganywa

Wababa mukichepuka musitoe dozi kubwa...Tunachanganywa

Huu uma.la.ya wa kujiendekeza tuu..unachukua waume za watu halafu unasingizia utamu, utakupeleka pabaya....
Yani binti uje kabisa ujisifu huu upumbavu!
 
Mmhh unaweza kuwa mkweli. Enjoy, hawako wengi kihivyo. Piga issue mmama
 
Kwa mahaba olokupa umenogewa vurugu pata shika oo akiongeza kidogo najua hutoumia na mengine kadhalika binti c umenogewa.....(Remix)
 
Reginald Mengi ana 72? Na ni babe ake murembo wa town. Viagra haidanganyi atii kwi kwi kwi

Kweli dada, viagra haidanganyi. Ila asisahau kuwa na maziwa ndani manake hazichelewi kumtoa mtu povu zile.
 
hahahahahah, uzee kwa mama ake ndo anamiliki kadi yake ya clinic, kwa sie wengine wote ni agemate shost. Jilie maraha na mupenzi
 
...oooh Jesus! You died on the cross just 4 us...
 
at 68 bado mnachuna na kuwaza kuhongwa?

mtatulia lini sasa muanze kushauri watoto wenu baya na jema?
 
Back
Top Bottom