Wababa mukichepuka musitoe dozi kubwa...Tunachanganywa

Wababa mukichepuka musitoe dozi kubwa...Tunachanganywa

Are u God to know your future???
future is uncertainty hny..keep that in your mind
hehehe kweli imekunogea shosti!na hyo fimbo inakuchapa ile yenyewe! Go on dia...mahaba niue...!kula raha bibie,,
 
Loohh!! operation kimbuga sijui ilikukosa vipi. labda ungerudi kwenu ungekuwa na mkijana mwenzako. ona sasa mbabu anakuchanganya akili kwa bamia iliyokomaa

wivu huo, mababu mbona tuko vizuri, enzi zetu hatukuwa polluted na misosi yenu ya kileo sijui kuku wa wiki 3, kitimoto ya kukuzwa na ARV, though sina kawaida ya kuchepuka lakini inapotokea hawa dotcom huwa wanadata kwa pilika zangu! Asikwambie mtu old is gold and "never be fooled by the snow on the roof because fire might still be in the hearth"
 
Hujambo bibie,mi mzima wa afya,hofu na mashaka ni wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu.
 
wivu huo, mababu mbona tuko vizuri, enzi zetu hatukuwa polluted na misosi yenu ya kileo sijui kuku wa wiki 3, kitimoto ya kukuzwa na ARV, though sina kawaida ya kuchepuka lakini inapotokea hawa dotcom huwa wanadata kwa pilika zangu! Asikwambie mtu old is gold and "never be fooled by the snow on the roof because fire might still be in the hearth"

Hehehehehhee
 
Squirt sio mchezo,ila wazee wetu bwana namhonga altezza na mapumziko seyssellez kweli ni noumer
 
Back
Top Bottom