Kwa hiyo sasa hivi ni Single Mother au Alishakuongeza kama mke wa pili.Vijana ndo mpango mzima
Ivuga utanioa wewe,maana unapenda masingo maza,Mdangaji aged
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ivuga utanioa wewe,maana unapenda masingo maza,
Weye mtu acha zako hizo. Unakumbuka sehemu umeandika kuwa unataka kumkacha babu kizee utafute kijana mwenzio? Chai uwe unaweka hiliki basi.Nimehamia kwake..
Kuwaga mupore mana Sabulina. Amekusikiya. Ni mutu munyenyekefu na muhungwana. Turiya mukuu. HahahahaaaaZahra nimemiss kiswahili chako cha kuandika jamani
Kanigusa..