Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,674
- 22,645
Mkuu hizo tende imported ninakula kila mara.Mimi nimeiona asali na mabaki ndio hayo kwenye picha.Labda ungeniambia sukari guru labda kidogo ningekuelewa. Hakuna cha chemistry, mi nimekulia kwenye matobolwa hayana ute kama wa asali.
Kanunue hio tender ujioneee sio kubisha tu. Asali tele mle, halafu asali sio mpaka itoke Africa Kuna nchi za tropic zipo Asia Zina misitu yakutosha.
Hakuna cha asali ama sukari gulu iliyochanganywa hapo.
Unachokiona kama magamba ya masega, hayo ni magome ya vichwa vya matunda yaliyokauka!
Chukua tende mbichi ichunguze umbo lake.
Nimetolea mfano wa matovolwa, ni kwa jinsi tunda linavyoweza kubadilika kutoka kwenye hali ya ukakasi likiwa bichi na kufikia hali ya utamu uliopitiliza mfano huo wa asali (chemical reactions)!
Tena hizo tende kwa macho huonekana kama zilishapikwa, kumbe hukaushwa juani tu na hizo mbegu zake ni hai, ukiziatika kwenye udongo baada ya miezi3 zinaota.