Sikurupuki mkuu. Uarabu ni utamaduni was kiislamu. Wale wamisri wanajiita warabu Kwa sababu tu wame adapt utamaduni wa warabu. Kiasilia mafarao sio warabu ila kiutamaduni ni warabu. Huo ni mfano mmmoja.
Kuhusu u tende kuungwa asali nimejiridhisha ni kweli wameunga sukari sio asali.
Nyuma ya mfuko wameandika Kwa kingereza hivyo mada imeisha mjadala uendelee Kwa Nini tuendelee kununua tende wakati kwetu zinastawi? Ndio ulikuwa mzizwa hoja japo Kuna watu wamenishambuli
Umeleta ubishi na kukaza shingo mwisho umekubali kwamba tende haiongezewi asali.Vipi vijiko vya asali havina kazi tena?a ntawajibu kesho Kwa contents iliowekwa mle.
Kuna watu JF wanajifanya wanajua sana na wasomavkuliko wengine kesho ntawaumbua kuwa hawajui kitubali wao ndio wamekurupuka kupinga bila ushaagidi.
Umeingilia uarabu mwisho utakuja kukubali ukweli.