Waarabu wanatuuzia asali kwenye tende

Waarabu wanatuuzia asali kwenye tende

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
5,806
Reaction score
7,414
Baada ya kuambiwa tende zina ongeza ashki ya kiumen, nikaanza kupenda kuzinunua. Nilichogundua ni kwamba Warabu wanakausha tende na kuziunga asali na kutuuzia Waafrika huku tukiwa wazalishaji wakubwa wa wa Asali kila kona ya nchi.

Bado najiuliza Asali yao ni ya Asia au hii hii ya Tabora, kama ni ya Tabora hatuna tofauti na hadithi ya mlugulu na chips za mihogo.

Ndugu zangu watanzania msiojua tende fresh huwa zinaukakasu wa ajabu. Warabu wameunga asali na kutuuzia.

Kumbuka Tanzania na Afrika tende zinastawi sehemu nyingi kuliko hata Avocado ila serikali zetu zimelala usingizi wa fofofo nami nachukua nafasi hii kuziamsha kuwa tunalishwa asali kwa bei kubwa
16757017158724138557666557831321.jpg
 
Kuna zile mbichi za njano kabisa watu pia wanakula...Mi najua ni asili yake kuwa kama na asali.

Ile kweny packaging lazima waweke kitu ili kulinda ubora kwa maana inawezekana kweli wanaweka na asali.
 
Tuna kazi aiseee.
Nimekula tende tangu nikiwa mdogo na kuaminishwa ni tamu 'halua' kumbe wameunga asali. Tunaipuuzia asali yeyu mitaani na kununua ya warabu kwe ye tende.
Sisi waislamu tumelishwa natango pori na warabu na kuamini kila walichokisema warabu hata kuhusu tende, kumbe ni asali.
 
Asali au wanatia sukari!?..tende za siku hizi zimezidi Sana utamu siyo Kama za zamani,zimepoteza ladha kabisa,tende zenye uchachu ni zile fresh siyo hizi za kuvundikwa
Halua ni ileile mi ndo uzeeni hivi nagundua ni asali. Chunguza vizuri ni asali.
Bila asali tende hamna utamu ni ukakasi tu.
 
Bei ya asali ni ghali kuliko Tende
Halafu wanunue asali Africa ipelekwe uarabuni iwekwe kwenye Tende halafu tuuziwe kwa bei ya Tende tu kweli inaingia akilini

Sijui huyo tajiri ana akili gani hapo labda ungesema Tende artificial zinazowekewa syrup ningewaza kidogo
 
Kuna zile mbichi za njano kabisa watu pia wanakula...Mi najua ni asili yake kuwa kama na asali.

Ile kweny packaging lazima waweke kitu ili kulinda ubora kwa maana inawezekana kweli wanaweka na asali.
Soma vizuri post, ktk mistari
 
Baada ya kuambiwa tende zina ongeza ashki ya kiumen, nikaanza kupenda kuzinunua. Nilichogundua ni kwamba Warabu wanakausha tende na kuziunga asali na kutuuzia Waafrika huku tukiwa wazalishaji wakubwa wa wa Asali kila kona ya nchi.
Bado najiuliza Asali yao ni ya Asia au hii hii ya Tabora, kama ni ya Tabora hatuna tofauti na hadithi ya mlugulu na chips za mihogo.
Ndugu zangu watanzania msiojua tende fresh huwa zinaukakasu wa ajabu. Warabu wameunga asali ba kutuuzia.
Kumbuka Tanzania na Africa tende zinastawi sehemu nyingi kuliko hata Avocado ila serikali zetu zimelala usingizi wa fofofo nami nachukua nafasi hii kuziamsha kuwa tunalishwa asali kwa bei kubwaView attachment 2508738
Sasa serikali inahusika vipi?
sehemu nyingi kuliko hata Avocado ila serikali zetu zimelala usingizi wa fofofo nami nachukua nafasi hii kuziamsha kuwa tunalishwa asali kwa bei kubwa
Sasa serikali inahusika vipi
 
Back
Top Bottom