Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,837
IKO HIVI:MIMI KWAKWELI WAARABU HUWA HAWANIBARIKI KABISA YANI....
WAMEJAWA NA MIDHAMBI.
Hata Wazungu wana Madhambi sana ila tofauti ni kuwa Wazungu hawana UNAFIKI
Yaani Mzungu hafichi Ufiraji wake, Uzinzi, Ulevi n.k na hawajali mnasemaje na akiacha ameacha
Lakini Mwarabu yeye anajifanya kulaani maovu lakini anayafanya kwa siri