Waarabu wanatuuzia asali kwenye tende

Waarabu wanatuuzia asali kwenye tende

wewe
Elewa falsafa ya mada.
Kama unaona hizo zenye asali huziwezi tumia kavu mkuu, tofauti yahalua na tende huijui, tende ni tunda halua sio tunda ladha ni moja sukari isipokua halua ina kaharufu zaidi na imekaa kama mkate tepetepe wewe umfananisha kwakuangalia muonekano
 
Tende na halua ni vitu tofauti.Tende ni tunda.Halua sio tunda wacha kukurupuka.Wala hamna kitu kinaitwa "tendehalua".
Wewe umekulia wapi ? mi ni mswshili Og na inawezekaba neno halua nimelisikis wewe ikiwa bado hujazaliwa.Usinilazimishe kuelewa unavyoelewa wewe.
 
Baada ya mada tunaenda kwenye udini, yaani bora ile dini ya Afrikanist ishike kasi na ikubalike vinginevyo safari ngumu sana!.
 
Pole Sana kwa udini uliopandikiziwa
Baada ya bidhaa za Azamu, sasa wamehamia kwenye tende, kesho tutahamia kwenye Mafuta toka uarabuni yanaharibu magari na vyombo vyenye, kutumia bidhaa hiyo.

Nilichogundua uchawi, ni imani ya giza, hivyo husda, chuki, fitna, Roho mbaya, kinyongo na ubaguzi ni uchawi maana wenye tabia hizi, huzifanyia gizani bila wengine kujua.
 
Wewe umekulia wapi ? mi ni mswshili Og na inawezekaba neno halua nimelisikis wewe ikiwa bado hujazaliwa.Usinilazimishe kuelewa unavyoelewa wewe.
Inawezekana umelisikia na hujui halua ni nini?Usingechanganya tende na halua."Mswahili" niambie halua inapikwa kwa kutumia viungo gani?
 
Sisi waislamu tumefundishwa kuwapenda waarabu jsmapo sioni msaada wao j
Kwa jamii za sisi waswahili zaidi ya kuabudu dini moja na kututumia tende na kujenga misikiti.
Umefundishwa na nani kuwapenda waarabu?Hivi unafikiri waarabu wote ni waislamu?Ni minority ndogo sana ya waislamu ndio waarabu. Kuna mamilioni ya waarabu wakristo kwenye Nchi za Syria,Iraq,Lebanon na Egypt.
Ni ujinga kuwanasibisha waarabu wote na Uislamu.
 
Bei ya asali ni ghali kuliko Tende
Halafu wanunue asali Africa ipelekwe uarabuni iwekwe kwenye Tende halafu tuuziwe kwa bei ya Tende tu kweli inaingia akilini

Sijui huyo tajiri ana akili gani hapo labda ungesema Tende artificial zinazowekewa syrup ningewaza kidogo
What if Tende zije toka Saudia alafu ziwe packed na asali hapo Tanzania,hujafikilia hii Mkuu ?
 
Tende hata dodoma zipo kweli nimekula na zina ukakasi. Lakini hizi za kutoka nje ni industrial prossed. Wanachanganya na sukari au ASALI.
 
Kuna watu hawajaelewa mrengo wa post.

Post ipo kuamsha fikra za mbantu alie lala.
Umaarufu wa tende ni ule utamu, kumbe ule utamu ni asali ya Tabora ambayo tunaichulia poa huku warabu inawaongezea thamani ya tende zao na kutuuzia tena sisi kama bidhaa unique.
Kwa nini serikali?
Tende ni bidhaa inayolimwa semi disert au tropic ni jamii ya minazi,chikichi nk.
Serikali inatakiwa itupie jicho la tatu kwa sababu tuna ardhi yenye rutuba inayofaa kulima tende na asali yunayo.
 
H
What if Tende zije toka Saudia alafu ziwe packed na asali hapo Tanzania,hujafikilia hii Mkuu
Halafu ziuzwe kwa bei ya tende?Wakati asali ni ghali kuliko tende?Biashara kichaa hiyo anafanya nani?Hivi shule mlienda kusomea nini?Au hata commonsense ?
 
What if Tende zije toka Saudia alafu ziwe packed na asali hapo Tanzania,hujafikilia hii Mkuu ?
Huyu jamaa hesabu yake kapiga vipi? Kijiko kimoja kinatosha sana kupaka tende za 3000.
Nimeandika sijajua hio asali inatoka nchi za Asia au Afrika.Msingi wa hoja ni bidhaa yenyewe na soko lake hapa TZ, kwamba sisi hatuwezi kutumia nazingira kuzalisha tende kibiashara?
Kama tumeweza parachichi hata trnde tunaweza kuzalisha ba kiongeza mazao ya biashara!
 
Huyu jamaa hesabu yake kapiga vipi? Kijiko kimoja kinatosha sana kupaka tende za 3000.
Nimeandika sijajua hio asali inatoka nchi za Asia au Afrika.Msingi wa hoja ni bidhaa yenyewe na soko lake hapa TZ, kwamba sisi hatuwezi kutumia nazingira kuzalisha tende kibiashsra
Hapo una hoja,huwa nanunua hizo tende,japo sijawahi kunotice ile ni asali ila haifiki vijiko 5 kwenye package, kama zinaweza kuzalishwa hapa ni jambo jema lakini najua wateja ni wachache sana kama Tende tu
 
Hapo una hoja,huwa nanunua hizo tende,japo sijawahi kunotice ile ni asali ila haifiki vijiko 5 kwenye package, kama zinaweza kuzalishwa hapa ni jambo jema lakini najua wateja ni wachache sana kama Tende tu
Tembea masokoni halafu ndio uje useme walaji ni wachache. Kwa zilizopo madukani tu Arabs makes bilions.Tazameni mambo kwa jicho la tatu.
 
Kuna zile mbichi za njano kabisa watu pia wanakula...Mi najua ni asili yake kuwa kama na asali.

Ile kweny packaging lazima waweke kitu ili kulinda ubora kwa maana inawezekana kweli wanaweka na asali.
Mimi na Mchungaji wangu tunapenda sana tende, na anakula kuliko hao waarabu wenyewe. Ni kweli kuna tende zilizochakachuliwa wanamix na asali hasa kipindi Waislam wakifunga au wakati wa IDD

Sasahv kuna jamaa mmoja Msouth Sudan ndio huwa anatutumia ile OG kabisa wakishavuna tu huko kwao Sudan ya kusini

Ukimix na Maziwa fresh ni balaa tupu

Sikujua kama Sudan wanalima Tende
 
Back
Top Bottom