The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,212
- 103,106
Kwahiyo China akifeli ina maanisha kua na wengine lazima watafeli?Uarabuni watafeli tu na hiyo project Yao walianza China mwisho wakaona hakuna faida yyte.
Hebu weka criteria zako hapa ambazo zinakufanya uamini kua ''Uarabuni'' watafeli.



