uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,564
Nakumbuka miaka ya 2000 kurudi nyuma nchi za Waarabu zilikuwa zimeuweka mpira kama haramu. Nafikiri ujinga umewaisha kichwani sasa wamevamia mpira wanamwaga pesa za mafuta.
Wananunua vilabu vya Ulaya na kuweka blood money huko. Alianza PSG kwa kuvuruga hisia za wachezaji na mashabiki kumwaga mapesa bila mpangilio. Mafanikio yao ni kama white elephant projects.
Wanashinda lakini mashabiki kama hawana furaha, angalia Manchester City wameshinda kila kitu ila ni kama hawajashinda chochote (wachezaji hawapati pure passion kutoka kwa mashabiki) ni kama wamenunua makombe.
Angalia kina Ronaldo wametimkia Uarabuni lakini wanalipa, mapesa mengi kwenye media za magharibi waendelee kutangazwa ili wasisahaulike.
PSG walimsajili messi lakini ni kama hawakuwa na Messi kwasababu ni timu fake yenye mapesa.
Waarabu wameingiza pesa wananunua kila kitu, nahisi hata waamuzi wameanza kuingia kwenye mifuko ya Waarabu.
Kiufupi Waarabu wao ni watu waharibifu, ukiangalia ligi inayochezwa kule katikati ya jangwa Saudi Arabia ni vichekesho vitupu (mashabiki wanaingia bure wanaambiwa washangilie muda wote) sasa huu ni mpira?
Football is not about winning and having everything, football is about passion, culture, friendships.
Ukienda kuangalia mechi ya Championship ya Stoke City utaona mashabiki walivyo na passion kuliko ukienda kutazama mpira Etihad under oil money.
I hope hili wimbi la oil money kwenye mpira litapita lituachie mpira wetu halisi.