The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,571
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao.
Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie wao na wale wenye asili yao (sitaki kuwataja). Kampeni kama hii inawezekana kufanywa na vikundi visivyo rasmi vitakavyokuwa vinaungwa mkono na serikali zitakazokuwa zinawekwa madarakani na waarabu kwa njia haramu na za kifisadi ikiwepo wizi wa kura.
Soma habari kamili hapa.
Chanzo CNN
Waafrika weusi waendelea kuangamizwa huko Darfur