Tofauti na vipindi viliyopita, mwarabu wa Loliondo angekuwa amekwisha anza operations za uwindaji kwa kuleta madege makubwa, na prukushani nyingine nyingi. Cha kushangaza hadi sasa hakuna dalili ya kufika Loliondo. Ninachouliza ili mijuze wanaofahamu, je amezidiwa nguvu na wamasai na kwamba ameamua kuondoka? Je Serikali kwa kupitia Kagasheki imeshindwa kwa hoja? Nini inaendelea jamani wanaofahamu?