Waarabu wameondoka Loliondo?

Waarabu wameondoka Loliondo?

Wanaeza ondoka ili kusubiri vuguvugu la uchaguzi ujao liishe ndo ccm waje kuwaondoa wakiwa na garantii ya miaka mingine kadhaa
 
Inawezekana ni kweli maana maandalizi yanafanyika kuanzia Juni na uwindaji unaanza Julai. Ninachopenda kufahamu ni sababu inayowafanya wasiwinde mwaka au wachelewe kuwinda
Wao wenyewe wanawindwa, si nibora kusepa tu
 
Back
Top Bottom