Waarabu wameamua kumwabudu Trump

Waarabu wameamua kumwabudu Trump

Unamkata kichwa Binti mrembo sababu ya Hijabu....!
Ndio naskia wanataka waitawale dunia:
Inachekesha kama sio kuflahisha
Kobazi waitawale dunia yaani wote tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!???? Tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani. Khaaa
 
Kwanza huo ni utamaduni wa nchi hauhusiki na Uislam, hao wanao wachia nywele hata kama wanadai bado hawaja baleghe ni makosa ya wazazi wao na serekali yao.

Afu UAE wanaweza kuleta vitoto vya kikristo kutoka Europe wakajidai vi Emirates vinavishwa tu hizo nguo afu vinambiwa vicheze vile hahaha
Europe utamchukua mtoto wa nani aache kwenda shule kwenye week days aende mashariki ya kati kutikisa kichwa kama zombi!!!!!!????
 
Waarabu wameamua kumwabudu Trump

View attachment 3334924
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela tu, anapita kwa mbali. Napo watasaini deal zito ni kama wanashindana kumwaga pesa kwa mzungu.

Ziara hii imetupa ufahamu kuwa, Marekani kwa muarabu ni nani. Tumeiona nguvu yake kwa vuguvugu hili la Waarabu ambayo Waarabu wameshaiona siku nyingi kasoro Wajahidina. Na zaidi tusiwadharau Waarabu, wameamua kula na kipofu, maana sio rahisi kujitoa mikononi mwa Marekani. Wanajua matokeo yake ni nini, na kwanza ndio anawalinda. Na zaidi Marekani ndio mteja wao mkuu wa mafuta ingawa Marekani ina mafuta mengi zaidi yao ila haiyachimbi. Waafrika tujifunze, kuwa provoke wazungu sio ushindi wa Afrika. Tunapaswa kujifunza kula na kipofu huku tunajenga nchi zetu kama Waarabu au China.

Ila nimepita huku na kule nimeona Waarabu weusi wa Buguruni wamenuna na wanaumia na kurusha matusi tu kwa Mwarabu mweupe hadi nimeshangaa. Naona nao wanajihisi ni sehemu ya nchi hizo, aibu yao. Narudia tena, Muarabu hana time na wewe sababu ya dini, dini haimfanyi kutokuwa mwarabu, anakushangaa wewe kukomaa na mila zake huku yeye hana time na zako. Uislamu haukufanyi kuwa mwarabu. Shame.

Jenga kwako maana ndipo utakapozikiwa.

View: https://youtu.be/YSCXR1kUTpQ?si=3X9GUvw4Ovo5weno
 
Nchi inayofuata sheria za Kiislamu (hasa kwa wanawake) ni Afghanistan tu. Iran wanawake hawalazimishwi kuvaa hijabu
Ni lazima kuvaa hijab Iran na police wa maadili wanasimamia hili, Ayatollah huwa hakubali kukutana na mwanamke yoyote asiyevaa hijab, alikataa hadi kufanya interview na mwandishi habari wa Marekani wa kike bila kuvaa hijab.
 
Kama anakataa kuhojiwa na asiyevaa hijab, ipo siku atakataa kuhojiwa na asiye mwisilamu.
 
Si bora Trump na waarabu kuliko anachofanya Zumaridi.
 
Waarabu wameamua kumwabudu Trump

View attachment 3334924
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela tu, anapita kwa mbali. Napo watasaini deal zito ni kama wanashindana kumwaga pesa kwa mzungu.

Ziara hii imetupa ufahamu kuwa, Marekani kwa muarabu ni nani. Tumeiona nguvu yake kwa vuguvugu hili la Waarabu ambayo Waarabu wameshaiona siku nyingi kasoro Wajahidina. Na zaidi tusiwadharau Waarabu, wameamua kula na kipofu, maana sio rahisi kujitoa mikononi mwa Marekani. Wanajua matokeo yake ni nini, na kwanza ndio anawalinda. Na zaidi Marekani ndio mteja wao mkuu wa mafuta ingawa Marekani ina mafuta mengi zaidi yao ila haiyachimbi. Waafrika tujifunze, kuwa provoke wazungu sio ushindi wa Afrika. Tunapaswa kujifunza kula na kipofu huku tunajenga nchi zetu kama Waarabu au China.

Ila nimepita huku na kule nimeona Waarabu weusi wa Buguruni wamenuna na wanaumia na kurusha matusi tu kwa Mwarabu mweupe hadi nimeshangaa. Naona nao wanajihisi ni sehemu ya nchi hizo, aibu yao. Narudia tena, Muarabu hana time na wewe sababu ya dini, dini haimfanyi kutokuwa mwarabu, anakushangaa wewe kukomaa na mila zake huku yeye hana time na zako. Uislamu haukufanyi kuwa mwarabu. Shame.

Jenga kwako maana ndipo utakapozikiwa.
Kumuabudu kwa muktadha upi mkuu?

Muktadha wa mabinti kucheza vichwa wazi au muktadha wa kusaini deals kubwa kubwa?

Ipo hivi..... hao mabinti unao waona hapo wanacheza ni utamaduni wa huko kwao kwa mabinti wadogo wasio balehe wanaruhusiwa kuwa vichwa wazi na ndio hucheza utamaduni huo

Kuhusu deals..... it’s win win situation mkuu
Waarabu wako smart kwenye mikataba kwa manufaa yao pia na ndio maana wanakuja kuingia mikataba ya kutunyonya na akina mama Abdul

So relax mkuu UDINI unakusumbua
 
Miaka ya nyuma nilipokuwa nafanya kazi huko, siku za sikukuu wanafunzi walikuwa wanacheza hivyo hivyo mbele ya Mfalme na viongozi wengine

Sio kuabudu bali ni utamaduni wao na michezo yao
 
Hakuna, wote waarabu, wana macho makubwa kama parachichi.
Kina Osama bin laden na kina Yayaha Sinwar na kina Saddam Hussein na kina Hassan Nasarah na kina Ismail hanniyeh na kina Gaddafi watakubali kweli dada zao wabichi wenye macho ya goroli waliwe kirafi na jitu jeusiiiiiii kutoka NZEGA au KOROGWE?
 
Padri akilala na Sista haibadilishi ukatoliki.

Ni lini watanzania tutaacha kukebehi na kudhihaki Imani za watu wengine?

Ni lini tutajua na kutambua kuwa maoni yetu hayana maana yoyote kwenye maisha na imani za watu wengine?

Eneweiz hata haya maoni yangu hayana maana yoyote kwenye maisha na mawazo ya mtoa mada.
 
Kumuabudu kwa muktadha upi mkuu?

Muktadha wa mabinti kucheza vichwa wazi au muktadha wa kusaini deals kubwa kubwa?

Ipo hivi..... hao mabinti unao waona hapo wanacheza ni utamaduni wa huko kwao kwa mabinti wadogo wasio balehe wanaruhusiwa kuwa vichwa wazi na ndio hucheza utamaduni huo

Kuhusu deals..... it’s win win situation mkuu
Waarabu wako smart kwenye mikataba kwa manufaa yao pia na ndio maana wanakuja kuingia mikataba ya kutunyonya na akina mama Abdul

So relax mkuu UDINI unakusumbua
Wala jamaa sio mdini ni kitu kinastua kwa kweli Trump huyu huyu(kafri huyu huyu)!!!!!!! We si unajua waislamu wa Simiyu na Manyara wanavyomchukia Trump na nchi yake? We didn't expect such a warm well come.
Kingine waislamu wa Songea na Iringa wanashangaa waarabu(ndgu zao kwenye imani) ku saini deals kubwa namna ile na Marekani ambaye hawampendi bora wangesaini hizo deals na China au Russia
 
Padri akilala na Sista haibadilishi ukatoliki.

Ni lini watanzania tutaacha kukebehi na kudhihaki Imani za watu wengine?

Ni lini tutajua na kutambua kuwa maoni yetu hayana maana yoyote kwenye maisha na Imani za watu wengine?

Eneweiz hata haya maoni yangu hayana maana yoyote kwenye maisha na mawazo ya mtoa mda.
Ni roho mbaya ya kimasikini ndio inawasumbua
Watu wanafanya biashara wengine wanalia kwa wivu
Very strange 🤔
Hela zao ndio zimempeleka huku
La sivyo kama kutembea angeenda Serengeti
 
Back
Top Bottom