Waarabu wameamua kumwabudu Trump

Waarabu wameamua kumwabudu Trump

Ni lazima kuvaa hijab Iran na police wa maadili wanasimamia hili, Ayatollah huwa hakubali kukutana na mwanamke yoyote asiyevaa hijab, alikataa hadi kufanya interview na mwandishi habari wa Marekani wa kike bila kuvaa hijab.
Anawaza ngono muda wote
 
Nchi inayofuata sheria za Kiislamu (hasa kwa wanawake) ni Afghanistan tu. Iran wanawake hawalazimishwi kuvaa hijabu
Sio kweli:
Iran walisha mwua mwanamke aliye acha kuvaa hijabu, hadi yakazuka maandamano ya wanawake mwaka Juzi:
Tujifunze kusema ukweli hata kama unauma:
Imani zinageuka kuwa Utumwa usio na huruma kwa Binadamu:
 
Wala jamaa sio mdini ni kitu kinastua kwa kweli Trump huyu huyu(kafri huyu huyu)!!!!!!! We si unajua waislamu wa Simiyu na Manyara wanavyomchukia Trump na nchi yake? We didn't expect such a warm well come.
Kingine waislamu wa Songea na Iringa wanashangaa waarabu(ndgu zao kwenye imani) ku saini deals kubwa namna ile na Marekani ambaye hawampendi bora wangesaini hizo deals na China au Russia
Mkuu tatizo lenu mnapenda ku generalized haswa mkisikia habari za waarabu na uislam
Mnaona nchi zote ni kama Iran, Afaghanistan, Syria nk

UAE wapo tofauti sana na nchi nyingi za kiislam hapo Middle East........ hawaendeshwi na mihemko ya kidini, wao kipaumbele chao cha kwanza ni biashara ili ku enjoy life to the fullest..... huko hata madanguro yapo.

Sio sawa na nchi ambazo vipaumbele vya kwanza ni dini
Kila kitu kwao wanaki treat kwa jicho la kidini dini
 
Well said! Lakini kuna hawa waislamu wa Singida na Mara wanaichukia sana Marekani sababu ya dini. IDIOT
 
Ni lazima kuvaa hijab Iran na police wa maadili wanasimamia hili, Ayatollah huwa hakubali kukutana na mwanamke yoyote asiyevaa hijab, alikataa hadi kufanya interview na mwandishi habari wa Marekani wa kike bila kuvaa hijab.
Hapa ni mitaa ya Iran
Ukiingia hiyo account ya TikTok utaona video zinazoonesha maisha katika miji mbalimbali ikiwemo Tehran
1000120166.jpg
 
Ndugu zangu katika imani wa mbagala Zakhem na waarabu wa bonyokwa hutawaona hapa
 
Bado Waaafrica wa Kitanzania tupo shida.
Hivi hao waalabu hawana utamaduni wao ?
Au ni sisi tu ndio tunajua kupeleka madada powa kukata viuno wanapokuja wageni
Na ukiwaangalia ni watoto wadogo sana ambao kwao ni furaha
Wacheni upidofile
HApa Tz akiwasili mgeni mijidada inavyokata viuno utaona hata aibu
Hao waalabu naona hawana kucheza hapo ni kupeleka nywele kulia na kushoto ata madada zetu hubandika nywle aina hio .

Tunawaambia wakenya watazame ya kwao na hisi na sisi tutazame ya kwetu unaweza kuona hao unavyowaona ila pakiletwa mfananisho basi tutaaibika.

Kutoa mkono au kuvaa mtandio hivi wale masista kanisani inakuwaje ? Mwanza Nansio nilienda kutembea kijijini murutunguru ,nilifika kwenye familia weusi kama kiza niliwapa mkono wadada hapo wao hawakunipa nikabakia kujikuna.

Embu acheni kushughulikia yawengine wakati yetu yanatushinda ,hata hapo Tabora kuna watu wazima wakiamkiwa wa kike hawawapi mikono ,ni mama au dada abari nzuri za tokea jana , eei inakuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom