Acha bhana! Serious? Hivi ukipewa bikira 72 hakuna hata mbongo wala hata mchina mmoja?Mianawake ya kiarabu mitamu kishenzi wamemtega Trump. Ndio yale 72 ya peponi.

Waarabu wameamua kumwabudu Trump
View attachment 3334924
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela tu, anapita kwa mbali. Napo watasaini deal zito ni kama wanashindana kumwaga pesa kwa mzungu.
Ziara hii imetupa ufahamu kuwa, Marekani kwa muarabu ni nani. Tumeiona nguvu yake kwa vuguvugu hili la Waarabu ambayo Waarabu wameshaiona siku nyingi kasoro Wajahidina. Na zaidi tusiwadharau Waarabu, wameamua kula na kipofu, maana sio rahisi kujitoa mikononi mwa Marekani. Wanajua matokeo yake ni nini, na kwanza ndio anawalinda. Na zaidi Marekani ndio mteja wao mkuu wa mafuta ingawa Marekani ina mafuta mengi zaidi yao ila haiyachimbi. Waafrika tujifunze, kuwa provoke wazungu sio ushindi wa Afrika. Tunapaswa kujifunza kula na kipofu huku tunajenga nchi zetu kama Waarabu au China.
Ila nimepita huku na kule nimeona Waarabu weusi wa Buguruni wamenuna na wanaumia na kurusha matusi tu kwa Mwarabu mweupe hadi nimeshangaa. Naona nao wanajihisi ni sehemu ya nchi hizo, aibu yao. Narudia tena, Muarabu hana time na wewe sababu ya dini, dini haimfanyi kutokuwa mwarabu, anakushangaa wewe kukomaa na mila zake huku yeye hana time na zako. Uislamu haukufanyi kuwa mwarabu. Shame.
Jenga kwako maana ndipo utakapozikiwa.
Wakina mkojani wakiambiwa uislam ni zao la Roman Catholic wanaona kama wanatukanwa... Hizi dini za majahazi na ndege zina siri sanaWaarabu wa VIKINDU NA TANDALE KWA TUMBO WAMEUMIA SANA. HAWANA HAMU.
Ritz @webaba Adiosamigo mnaona wenzenu wenye akili? Nyie mnavaa kobazi tu na suruali njiwa mnajifanya wajuaji wa dini kuliko walioanzisha dini. Trump mnaona anavyoheshimiwa? Sasa nyie kaeni tu mkisugua magaga na kubadilisha mikao.
Na Hijab inakuwaje sasa, FaizaFoxy anajipendekeza auKaka mgalatia hiyo ni utamaduni wa nchi za kiarabu miaka na miaka kwa wanawake kuchezesha nywele, kwenye sherehe yoyote
Iran na Afghanstan hao wote wangekatwa vichwaKwahiyo wanacheza Uchi hapo ?
Asante sana mkuu kwa ujumbe wako na ushauri wako kuanzia sasa nitabadilika kwakweli maana nilikuwa naumia sana ndugu zetu katika imani mwarabu akisemwa humu.🙏🙏🙏Waarabu wameamua kumwabudu Trump
View attachment 3334924
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela tu, anapita kwa mbali. Napo watasaini deal zito ni kama wanashindana kumwaga pesa kwa mzungu.
Ziara hii imetupa ufahamu kuwa, Marekani kwa muarabu ni nani. Tumeiona nguvu yake kwa vuguvugu hili la Waarabu ambayo Waarabu wameshaiona siku nyingi kasoro Wajahidina. Na zaidi tusiwadharau Waarabu, wameamua kula na kipofu, maana sio rahisi kujitoa mikononi mwa Marekani. Wanajua matokeo yake ni nini, na kwanza ndio anawalinda. Na zaidi Marekani ndio mteja wao mkuu wa mafuta ingawa Marekani ina mafuta mengi zaidi yao ila haiyachimbi. Waafrika tujifunze, kuwa provoke wazungu sio ushindi wa Afrika. Tunapaswa kujifunza kula na kipofu huku tunajenga nchi zetu kama Waarabu au China.
Ila nimepita huku na kule nimeona Waarabu weusi wa Buguruni wamenuna na wanaumia na kurusha matusi tu kwa Mwarabu mweupe hadi nimeshangaa. Naona nao wanajihisi ni sehemu ya nchi hizo, aibu yao. Narudia tena, Muarabu hana time na wewe sababu ya dini, dini haimfanyi kutokuwa mwarabu, anakushangaa wewe kukomaa na mila zake huku yeye hana time na zako. Uislamu haukufanyi kuwa mwarabu. Shame.
Jenga kwako maana ndipo utakapozikiwa.
Wait kwanza niwahesabu kama wanafika 72 au wamempunja bwana Trump, nasikia utaratibu ulikua trump apewe 72 ila kasema 36 wapelekwe kwa muskWaarabu wameamua kumwabudu Trump
View attachment 3334924
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela tu, anapita kwa mbali. Napo watasaini deal zito ni kama wanashindana kumwaga pesa kwa mzungu.
Ziara hii imetupa ufahamu kuwa, Marekani kwa muarabu ni nani. Tumeiona nguvu yake kwa vuguvugu hili la Waarabu ambayo Waarabu wameshaiona siku nyingi kasoro Wajahidina. Na zaidi tusiwadharau Waarabu, wameamua kula na kipofu, maana sio rahisi kujitoa mikononi mwa Marekani. Wanajua matokeo yake ni nini, na kwanza ndio anawalinda. Na zaidi Marekani ndio mteja wao mkuu wa mafuta ingawa Marekani ina mafuta mengi zaidi yao ila haiyachimbi. Waafrika tujifunze, kuwa provoke wazungu sio ushindi wa Afrika. Tunapaswa kujifunza kula na kipofu huku tunajenga nchi zetu kama Waarabu au China.
Ila nimepita huku na kule nimeona Waarabu weusi wa Buguruni wamenuna na wanaumia na kurusha matusi tu kwa Mwarabu mweupe hadi nimeshangaa. Naona nao wanajihisi ni sehemu ya nchi hizo, aibu yao. Narudia tena, Muarabu hana time na wewe sababu ya dini, dini haimfanyi kutokuwa mwarabu, anakushangaa wewe kukomaa na mila zake huku yeye hana time na zako. Uislamu haukufanyi kuwa mwarabu. Shame.
Jenga kwako maana ndipo utakapozikiwa.
Unamkata kichwa Binti mrembo sababu ya Hijabu....!Iran na Afghanstan hao wote wangekatwa vichwa
Namimi nimepause na kuzoom naona hawajafika bikra 72. Au wamegawana na Elon Musk pasukwapasu? Hila hawajamtendea haki iseeee!Wait kwanza niwahesabu kama wanafika 72 au wamempunja bwana Trump, nasikia utaratibu ulikua trump apewe 72 ila kasema 36 wapelekwe kwa musk
Kwanza huo ni utamaduni wa nchi hauhusiki na Uislam, hao wanao wachia nywele hata kama wanadai bado hawaja baleghe ni makosa ya wazazi wao na serekali yao.Waarabu wameamua kumwabudu Trump
View attachment 3334924
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela tu, anapita kwa mbali. Napo watasaini deal zito ni kama wanashindana kumwaga pesa kwa mzungu.
Ziara hii imetupa ufahamu kuwa, Marekani kwa muarabu ni nani. Tumeiona nguvu yake kwa vuguvugu hili la Waarabu ambayo Waarabu wameshaiona siku nyingi kasoro Wajahidina. Na zaidi tusiwadharau Waarabu, wameamua kula na kipofu, maana sio rahisi kujitoa mikononi mwa Marekani. Wanajua matokeo yake ni nini, na kwanza ndio anawalinda. Na zaidi Marekani ndio mteja wao mkuu wa mafuta ingawa Marekani ina mafuta mengi zaidi yao ila haiyachimbi. Waafrika tujifunze, kuwa provoke wazungu sio ushindi wa Afrika. Tunapaswa kujifunza kula na kipofu huku tunajenga nchi zetu kama Waarabu au China.
Ila nimepita huku na kule nimeona Waarabu weusi wa Buguruni wamenuna na wanaumia na kurusha matusi tu kwa Mwarabu mweupe hadi nimeshangaa. Naona nao wanajihisi ni sehemu ya nchi hizo, aibu yao. Narudia tena, Muarabu hana time na wewe sababu ya dini, dini haimfanyi kutokuwa mwarabu, anakushangaa wewe kukomaa na mila zake huku yeye hana time na zako. Uislamu haukufanyi kuwa mwarabu. Shame.
Jenga kwako maana ndipo utakapozikiwa.
Hivyo vitoto havija baleghe afu niko na wewe usenge upo hata kwa watu wasio heshimu misingi ya dini. Usenge hata kumpa Trump pesa ni usenge tu niko na weweIla waarabu wasenge sana😅
Wametuonyesha nywele kuptia mwamba trump
Hawa waarabu wetu wa kisutu ukinunua soda chench akupi mkononi ili msigusane😁😁😁
Itakua pasu pasu hio, trump ashazeeka. Hushangai elon haonekani hapo kama kwenye ziara ya RiyadhNamimi nimepause na kuzoom naona hawajafika bikra 72. Au wamegawana na Elon Musk pasukwapasu? Hila hawajamtendea haki iseeee!