Waarabu na Waafrika ndiyo jamii duni zaidi karne ya sasa

Ujinga mmoja anaongew ujinga ...Wanaou kwa mabomu wale wanaoua kwa chanjo wote akili moja.

Acha ujinga waarabu wapo mbali sana huwezi kuwaweka sawa na wabongo ,wapo mbali kila sekta .
.Kwa vile tunasoma na kufuatulia mambo ya magharib huwezi kuelewa.

Tafuta passport ukatembee...Hapa ofisini palitokea kama offer watu wakafanye vocation ya wiki aslimia 90 wamechagua Dubai tena kwenda kujifunza sio leisure ...
Huu ndio ukweli hizi jamii mbili ndio watu wajinga zaidi tena hasa wakiwa ule upande wa kushoto
 
Back
Top Bottom