Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 5,752
- 10,523
Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF
Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.
Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.
Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.
Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........
Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.
Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.