Waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava ni nani??

Sugu Kaisongesha Bongo Fleva(Kaibeba na kuimantainisha),Prof. Jay kafanya Mapinduzi ya Bongo Fleva kutoka kuitwa mziki wa kihuni mpaka Kueleweka na washua BAADA ya CHEMSHA BONGO miaka ya 2000 kuingia mtaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom