Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Na ndiyo maana wamepora majimbo mengi likiwemo Segerea, NEC ni vipandikizi wao!
Na ndiyo maana wamepora majimbo mengi likiwemo Segerea, NEC ni vipandikizi wao!
Katika khali ya kuuponda ushindi wa mezani wa JK waangalizi wa kimataifa wametoboa ya kuwa siyo sahihi hata kidogo kwa Raisi ambaye naye ni mgombea na chama chake kinagombea uchaguzi huohuo na hivyo kuwa mwenye masilahi mazito kwenye uchaguzi kuwa ndiye anayeteua Tume ya Uchaguzi yaani NEC..............chaguzi hiyo siyo ya huru wala ya haki hata kidogo.
SOURCE: MAJIRA ya leo
mh!!?Tanga Mjini, Mtwara Mjini, Temeke
Hanang, Tanga Mjini na Arusha Mjini!
mi nashangaa sijui wanachosubiri ni nini? ina maana zenj kuna tofaurti gani na hapa bongo? wajamaa wamejitahidi sana hata kama walinaniii lakin its good to be sharp, nchi kama tatu zilipiga kura duniani siku ya j2, na j3 majibu hewani nashangaa kwa huku bara... kwa kifupi ushindi wa Jk utakuwa Unachakachuliwa mpaka tunaona wazi wazi
So Far Naona NEC hawataki Kuvuka Lengo la kinana la Wabunge 51 ha ha ha This is Tanzania bana