Waangalizi wa kimataifa watoboa: NEC siyo huru hata kidogo...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Katika khali ya kuuponda ushindi wa mezani wa JK waangalizi wa kimataifa wametoboa ya kuwa siyo sahihi hata kidogo kwa Raisi ambaye naye ni mgombea na chama chake kinagombea uchaguzi huohuo na hivyo kuwa mwenye masilahi mazito kwenye uchaguzi kuwa ndiye anayeteua Tume ya Uchaguzi yaani NEC..............chaguzi hiyo siyo ya huru wala ya haki hata kidogo.

SOURCE: MAJIRA ya leo
 
mi nashangaa sijui wanachosubiri ni nini? ina maana zenj kuna tofaurti gani na hapa bongo? wajamaa wamejitahidi sana hata kama walinaniii lakin its good to be sharp, nchi kama tatu zilipiga kura duniani siku ya j2, na j3 majibu hewani nashangaa kwa huku bara... kwa kifupi ushindi wa Jk utakuwa Unachakachuliwa mpaka tunaona wazi wazi
 
kwa kifupi tanzania hatuna tume,hata hayo majimbo wapinzani waliyoshinda ni kwa sababu ya nguvu ya umma ilivyolinda kura zake.angalia shinyanga,msimamiz kamtangaza mgombea wa chadema kashinda,then after few minutes tena anasema kura zilikosewa kashinda ccm,ndo maana wananchi imebidi wajichukulie sheria mkononi kwa kuchoma halimashauri na kumuwinda mkurugenzi.
 
Katika khali ya kuuponda ushindi wa mezani wa JK waangalizi wa kimataifa wametoboa ya kuwa siyo sahihi hata kidogo kwa Raisi ambaye naye ni mgombea na chama chake kinagombea uchaguzi huohuo na hivyo kuwa mwenye masilahi mazito kwenye uchaguzi kuwa ndiye anayeteua Tume ya Uchaguzi yaani NEC..............chaguzi hiyo siyo ya huru wala ya haki hata kidogo.

SOURCE: MAJIRA ya leo

Wazungu wanafiki sana yaani hilo wamelijua walivyokuja Tanzania? yaani wanajifunika shuka asubuhi?? shen$$$$$%%%%@type waende zao. Ndo maana kikwete habadilishi mikataba ya madini
 
Jamani kwa Tume hii na katiba hii mgombea wa upinzani hawezi kushinda , hao waangalizi wa kimataifa watusaidie kushinikiza tume huru na katiba mpya vingine vyo jamani ukombozi hakuna.
 
mi nashangaa sijui wanachosubiri ni nini? ina maana zenj kuna tofaurti gani na hapa bongo? wajamaa wamejitahidi sana hata kama walinaniii lakin its good to be sharp, nchi kama tatu zilipiga kura duniani siku ya j2, na j3 majibu hewani nashangaa kwa huku bara... kwa kifupi ushindi wa Jk utakuwa Unachakachuliwa mpaka tunaona wazi wazi

Wao wanajua sana kutumia kompyuta kuliko sisi. Hatujui chochote kwenye kompyuta ss wabara. We unajua kutumia DOS ww?
 
So Far Naona NEC hawataki Kuvuka Lengo la kinana la Wabunge 51 ha ha ha This is Tanzania bana
 
they said earlier that the election was fair, why did they? mapema hata matokeo hayajatangazwa, to me its a nonsense i dont even want to hear their ........ suggestions.
 
ivi suggestions za hawa wasimamizi wa kimataifa zinawea tumikakama proof zakushinikiza kuhesabukura tenaaa au
 
Hivi majimbo yote wamemaliza kuchakachua?..........na wameshatoa majibu?
 
Jamani someni na kuelewa nini walichosema kabla ya kujadili. Kwa kutumia utaratibu waliojiwekea watanzania uchaguzi ulikuwa fair. Lakini matatizo waliyoyaona ni matatizo ya kiurithi ambayo yanatoa advantage kwa chama kilichokuwepo kabla ya mfumo wa vyama vingi kuanza.

Kabla ya mfumo wa vyama vingi kuanza, rais aliteua watendaji wengi wa kiserikali. Na mfumo huo unaendelea mpaka sasa. Watendaji wengine wanahusika moja kwa moja na usimamizi wa uchaguzi mkuu. Hivyo ni vigumu kwa mtu aliyechaguliwa na rais, kumwangusha bosi wake.

Kitu kingine ni kuwa katiba inasema mgombeaji ni lazima awe mwanachama wa chama cha kisiasa. Hii kanuni inawanyima watu wasio na vyama haki zao za kibinadamu za kushiriki katika political process.

Swali la kuuliza ni kuwa huu ni uchaguzi wa nne na mapungufu haya yapo toka 1995, kwanini wanasema leo?
 
CCM continues to disgrace the nation of Tanzania and the people of Tanzania.

Perhaps international involvement will 'cure' CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom