Elections 2010 Waangalizi Wa Kimaifa!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,608
2,000
Wanajanvi naleta Mada hii mnisaidie niweze kuelewa hili! Hivi Marekani na Uengereza zinapofanya chaguzi zao kwanini haziombi kupelekewa waangalizi wa kimataifa kutoka kama Africa au Asia! Lakini sisi tunapofanya chaguzi zetu hututaka tualike waangalizi kutoka kwao hii inakaaje?
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,558
2,000
Tanzania haina uwezo wa kufanya Uchaguzi kwa bajeti yake yenyewe so as nchi almost nyingi za Kiafrica, kama uchaguzi uliopita kila kitu kilikuwa ni msaada, kwa maana nyingine anaekuwezesha anaamua anachotaka
 
lm317

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
451
195
Wanajanvi naleta Mada hii mnisaidie niweze kuelewa hili! Hivi Marekani na Uengereza zinapofanya chaguzi zao kwanini haziombi kupelekewa waangalizi wa kimataifa kutoka kama Africa au Asia! Lakini sisi tunapofanya chaguzi zetu hututaka tualike waangalizi kutoka kwao hii inakaaje?
Hakuna aliyekuzuia kwenda kwa Obama kwa gharama zako mwenyewe kuangalia uchaguzi!.
 
Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,608
2,000
Asanteni sana kwa maoni yenu na Mola awape Nguvu yakuendelee kukaa humu ndani kwa amani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom